Sawa mkuu, ila haibadili ukweli kuwa mke wa jamaa kabanjuliwa na wahuni, na jamaa ana maumivu ya kutoshaMwanaume kuchepuka ni halali kabisa ila mwanamke anayechepuka anatakiwa kupewa talaka haraka sana. Take it or leave it. .....
Sawa mkuu, ila haibadili ukweli kuwa mke wa jamaa kabanjuliwa na wahuni, na jamaa ana maumivu ya kutosha
Anaachaje kuumia? Ukute na mlango wa pili wameupitia. So sad!Demi but why [emoji3], sema mwamba imemuuma kinoma
Ashike sperm za kijeba mwingine?..Hell noMkuu hukushika hata kuinusa [emoji57][emoji57][emoji57] ulizira kabisa
Kauli yangu haikuwa na lengo la kubadili chochote.Sawa mkuu, ila haibadili ukweli kuwa mke wa jamaa kabanjuliwa na wahuni, na jamaa ana maumivu ya kutosha
SawaKauli yangu haikuwa na lengo la kubadili chochote.
Sawa mkuu, ila haibadili ukweli kuwa mke wa jamaa kabanjuliwa na wahuni, na jamaa ana maumivu ya kutosha
Hapana Kaka yangu😂😂😂😂😂kumbe wewe mchokozi eh!? 🤣🤣
Marioo anajua sana..Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona Duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya, nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua mi kwako ndo napona,
We nihurumie
Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh
Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa mmmmh
Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako
Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh
Ah poa poa,
Nishajua vya utamu Vinakuwaga vya uchungu
Ili doa doa milima haikutani
Japo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh
Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa
Unanionea, unanionea bure
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua, unanionea
Hii haina kuuliza,piga chini muache na chukua watoto wako,hii kusema watoto wadogo mi sionagi udogo,nilisha wahi kuchukua mtoto wangu akiwa na mwaka mmoja na sasa ako na 22yrsBaada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya
Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.
Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,
Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,
Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion
Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana
Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi
Jamaa:hey beautiful missed you
Mke: hey baby missing you more
Jamaa: missed your voice sana
Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.
Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa
Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena
Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa
Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza
Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata
Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa
Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu
Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,
Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,
Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .
Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo
Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan
Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?
Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,
Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone
Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,
Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu
Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.
Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...
Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!
Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Hivi wewe naona huwajui binadamu...Umewaza pakubwa sana mpwa......comment yako imenifikirisha sana mpaka nikarudia kusoma kisa kizima kama hakimu.....kwa mtiririko wa mawasiliano baina ya mkewe na huyo jamaa ni wazi kuwa mkewe alikuwa na hamu sana na hilo tendo.......sasa inawezekana vipi mwanamke anayetoshelezwa na mumewe akawaka tamaa kiasi cha kuulizia mchezo kwa kiu......??
Takwimu zinaonyesha vijana wakishaanza kuchepuka utendaji kazi makao makuu unapungua automatically.......lakini uhitaji wa mwanamke upo pale pale......kijana anatakiwa ajitafakali kabla hajafanya maamuzi........
Anaachaje kuumia? Ukute na mlango wa pili wameupitia. So sad!
Kabisa bonsKweli ni jabali ushauli bora kabisa kazi kwake malaya habadiliki
Kazi na iendeleeNa jamaa lazima aende kwa mchepuko kujipooza machungu maana amekiri kuwa nao, akifika huko story itakua ni kumsimanga mkewe jinsi alivyochepuka, ilhali na yeye yuko na mchepuko [emoji23]. Safari bado ni ndefu sana
Anagusia mule muleMarioo anajua sana..
Kwani bodaboda sio watu acha kudharau waja, bodaboda anajiingizia kipato chake wala haibi unakuja kukashifu watuHivi kuna mwanamke mwenye akili timamu na utashi, tena anayejiheshimu na kujitambua, akadate na boda boda? Yaan nikiona mwanamke anadate na boda boda hata niwe namuheshimu kias gan, namshusha vyeo vyote wallah.
Hawa boda boda ni wambea na chawa wakubwa, sasa hapo anakuambia wee, je kawaambia wangapi? Na huko kijiweni kwao gumzo lote ni huyo mwalimu aliyeliwa, mwsho wake habari zitasaambaa mtaan hadi mumewe atajua, na familia kuanza migogoro.
Hawa boda boda sio wa kudate nao kabisa, sijui why wanawake wengi ndo wanawapenda lol, mie nachefukwa khaaa.