Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Hahahah ndo maana mimi naishi kwa ajili ya kufurahisha nafsi yangu,we were born to be selfish to enjoy life on earth planet...piga chini pata mtoto mkali endelea na maisha,maisha ni matamu sana ukiwa na pesa unajichagulia tu wa kupiga sio kuoa hata mahitaji ya watoto miezi 6 usitoe wakukumbuke wote watatu
 
Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona Duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya, nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua mi kwako ndo napona,
We nihurumie
Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa mmmmh

Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako
Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh
Ah poa poa,
Nishajua vya utamu Vinakuwaga vya uchungu
Ili doa doa milima haikutani
Japo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa
Unanionea, unanionea bure
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua, unanionea
Marioo anajua sana..
 
Amekucheza vibaya sana mbaya zaidi mhuni mwenyewe Livingstone unamjua
Piga chini hiyo mbanga arifu
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Hii haina kuuliza,piga chini muache na chukua watoto wako,hii kusema watoto wadogo mi sionagi udogo,nilisha wahi kuchukua mtoto wangu akiwa na mwaka mmoja na sasa ako na 22yrs

kati ya vitu usivyo paswa kumsamehe mwanamke ni uzinzi,maana atakudharau na ataishi hivyo ila kwa kujificha tu.

Toka enzi za manabii ni Mwanaume peke yake ndo amewahi kua na mwanamke zaidi ya mmoja mpaka leo hii na siyo mwanamke.
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!

Aiseee, chumbani kwako kabisaaa!? Duuh!.... mnatutisha waoaji wapya[emoji38]
 
Umewaza pakubwa sana mpwa......comment yako imenifikirisha sana mpaka nikarudia kusoma kisa kizima kama hakimu.....kwa mtiririko wa mawasiliano baina ya mkewe na huyo jamaa ni wazi kuwa mkewe alikuwa na hamu sana na hilo tendo.......sasa inawezekana vipi mwanamke anayetoshelezwa na mumewe akawaka tamaa kiasi cha kuulizia mchezo kwa kiu......??

Takwimu zinaonyesha vijana wakishaanza kuchepuka utendaji kazi makao makuu unapungua automatically.......lakini uhitaji wa mwanamke upo pale pale......kijana anatakiwa ajitafakali kabla hajafanya maamuzi........
Hivi wewe naona huwajui binadamu...
 
Anaachaje kuumia? Ukute na mlango wa pili wameupitia. So sad!

Na jamaa lazima aende kwa mchepuko kujipooza machungu maana amekiri kuwa nao, akifika huko story itakua ni kumsimanga mkewe jinsi alivyochepuka, ilhali na yeye yuko na mchepuko [emoji23]. Safari bado ni ndefu sana
 
Na jamaa lazima aende kwa mchepuko kujipooza machungu maana amekiri kuwa nao, akifika huko story itakua ni kumsimanga mkewe jinsi alivyochepuka, ilhali na yeye yuko na mchepuko [emoji23]. Safari bado ni ndefu sana
Kazi na iendelee
 
Hivi kuna mwanamke mwenye akili timamu na utashi, tena anayejiheshimu na kujitambua, akadate na boda boda? Yaan nikiona mwanamke anadate na boda boda hata niwe namuheshimu kias gan, namshusha vyeo vyote wallah.

Hawa boda boda ni wambea na chawa wakubwa, sasa hapo anakuambia wee, je kawaambia wangapi? Na huko kijiweni kwao gumzo lote ni huyo mwalimu aliyeliwa, mwsho wake habari zitasaambaa mtaan hadi mumewe atajua, na familia kuanza migogoro.

Hawa boda boda sio wa kudate nao kabisa, sijui why wanawake wengi ndo wanawapenda lol, mie nachefukwa khaaa.
Kwani bodaboda sio watu acha kudharau waja, bodaboda anajiingizia kipato chake wala haibi unakuja kukashifu watu
 
Back
Top Bottom