Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mkuu uamuzi wowote utakaochukua please angalia ustawi wa watoto.
 
Mimi siwezi muacha nitachofanya nitamtafuta itabidi niongee na wife niweke mtego nimnase living stone then namfira japo kidogo afu namuacha.Nakwambiaje hata mwanaume awe ana mwili kama king kong akishafirwa anaeza kuhama mkoa.
Utaenda jela na living stone atakuwa anagonga hapo kwa mkeo.. Na mkeo ataacha kukutembelea huko jela
 
Na jamaa lazima aende kwa mchepuko kujipooza machungu maana amekiri kuwa nao, akifika huko story itakua ni kumsimanga mkewe jinsi alivyochepuka, ilhali na yeye yuko na mchepuko [emoji23]. Safari bado ni ndefu sana

Hahahahahaha safar haiwez kuwa ndefu talaka naiandaa
 
Ndio hiyo nilikaa na wazee wakawa wanasema usione wazee wanaimba wakiwa wanarudi kwenye miji yao huwa wanatoa taarifa kuwa narudi kama kuna mtu amalizie kabisa.. Maana kufumania ni unaweza kuua au kuuliwa
 
Ndio hiyo nilikaa na wazee wakawa wanasema usione wazee wanaimba wakiwa wanarudi kwenye miji yao huwa wanatoa taarifa kuwa narudi kama kuna mtu amalizie kabisa.. Maana kufumania ni unaweza kuua au kuuliwa

Kweli mkuu maisha ya sasa yamekuwa ya kuviziana tu mtu atoke mwingine afanye mambo yake
 
Mkuu pole sana, nafahamu tunaumizwa na wale tunaowapenda kwa dhati. Ila jambo la kuzingatia hata kwenye bible imeandikwa kuwa usiruhusu kuvunja ndoa yako kwa sababu yoyote ile ya kimaisha isipo kuwa sababu moja tu. Sababu hiyo ni ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ท๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ,.
๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ท๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐˜‚๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ผ๐˜†๐—ผ๐˜๐—ฒ.
 

Sawa mkuu
 
Kuna baadhi ya wanaume wanatoka kimapenzi na mama zao wakuwazaa kabisaa! Mwanaume km huyu mkewe akichepuka atajifanya na yy anaumia kinyama!!!!
 
Mimi kwangu watoto Ni muhimu kuliko mke kutoka nje ya ndoa.
Naongea hivi kwa sababu nimekualia nje ya malezi ya baba na mama.
Halafu pia Nina watoto wawili Sasa, vile wanavyoishi kwa furaha kwa uwepo wa baba na mama, kuchepuka sio hoja.
Unafanya kitu gani kwa sasa? Upo chuo au?
 
Mara moja siyo mbaya sema shida tunajisahau sana
 
Pole kwenu
Mpira uwekwe kati
Usaliti unauma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ