Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Mkuu uamuzi wowote utakaochukua please angalia ustawi wa watoto.
 
Mimi siwezi muacha nitachofanya nitamtafuta itabidi niongee na wife niweke mtego nimnase living stone then namfira japo kidogo afu namuacha.Nakwambiaje hata mwanaume awe ana mwili kama king kong akishafirwa anaeza kuhama mkoa.
Utaenda jela na living stone atakuwa anagonga hapo kwa mkeo.. Na mkeo ataacha kukutembelea huko jela
 
Na jamaa lazima aende kwa mchepuko kujipooza machungu maana amekiri kuwa nao, akifika huko story itakua ni kumsimanga mkewe jinsi alivyochepuka, ilhali na yeye yuko na mchepuko [emoji23]. Safari bado ni ndefu sana

Hahahahahaha safar haiwez kuwa ndefu talaka naiandaa
 
kabla sijaoa enzi hizo ile wiki moja kabla ya ndoa tulikuwa tunafundishwa na shangazi bibi na babu na wajomba. Nakumbuka babu alisema

ukiwa unarudi safarini usiende moja kwa moja nyumbani bali pitia kwa rafiki wa mtaa wa tano au watatu au pitia kwenye bao halafu mpe koti au begi mtoto alipeleke nyumbani then wewe nenda home baada ya masaa mawili hii itapunguza matatizo yasiyo ya lazima kwako
Ndio hiyo nilikaa na wazee wakawa wanasema usione wazee wanaimba wakiwa wanarudi kwenye miji yao huwa wanatoa taarifa kuwa narudi kama kuna mtu amalizie kabisa.. Maana kufumania ni unaweza kuua au kuuliwa
 
Ndio hiyo nilikaa na wazee wakawa wanasema usione wazee wanaimba wakiwa wanarudi kwenye miji yao huwa wanatoa taarifa kuwa narudi kama kuna mtu amalizie kabisa.. Maana kufumania ni unaweza kuua au kuuliwa

Kweli mkuu maisha ya sasa yamekuwa ya kuviziana tu mtu atoke mwingine afanye mambo yake
 
Mkuu pole sana, nafahamu tunaumizwa na wale tunaowapenda kwa dhati. Ila jambo la kuzingatia hata kwenye bible imeandikwa kuwa usiruhusu kuvunja ndoa yako kwa sababu yoyote ile ya kimaisha isipo kuwa sababu moja tu. Sababu hiyo ni 𝗸𝘂𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗻𝗷𝗲 𝘆𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮,.
𝘆𝗮𝗮𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲 𝗮𝗸𝗶𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗻𝗷𝗲 𝘆𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘂𝗵𝗮𝗿𝗮𝗹𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗺𝘂𝗮𝗰𝗵𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝘀𝗶𝘄𝗲 𝗻𝗮 𝗵𝗮𝘁𝗶𝗮 𝘆𝗼𝘆𝗼𝘁𝗲.
 
Mkuu pole sana, nafahamu tunaumizwa na wale tunaowapenda kwa dhati. Ila jambo la kuzingatia hata kwenye bible imeandikwa kuwa usiruhusu kuvunja ndoa yako kwa sababu yoyote ile ya kimaisha isipo kuwa sababu moja tu. Sababu hiyo ni 𝗸𝘂𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗻𝗷𝗲 𝘆𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮,.
𝘆𝗮𝗮𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗺𝗸𝗲 𝗮𝗸𝗶𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗻𝗷𝗲 𝘆𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘂𝗵𝗮𝗿𝗮𝗹𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗺𝘂𝗮𝗰𝗵𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝘀𝗶𝘄𝗲 𝗻𝗮 𝗵𝗮𝘁𝗶𝗮 𝘆𝗼𝘆𝗼𝘁𝗲.

Sawa mkuu
 
Kuna baadhi ya wanaume wanatoka kimapenzi na mama zao wakuwazaa kabisaa! Mwanaume km huyu mkewe akichepuka atajifanya na yy anaumia kinyama!!!!
 
Mimi kwangu watoto Ni muhimu kuliko mke kutoka nje ya ndoa.
Naongea hivi kwa sababu nimekualia nje ya malezi ya baba na mama.
Halafu pia Nina watoto wawili Sasa, vile wanavyoishi kwa furaha kwa uwepo wa baba na mama, kuchepuka sio hoja.
Unafanya kitu gani kwa sasa? Upo chuo au?
 
Kumaintain ni ngumu halafu mtu mzima kumwambia mwambia hivyo anaona kama unamuinjoy! Anaenda anazoea halafu inakuwa sio ishu kwake sababu mnaishi wote,,,ndio ugumu ulipo aisee! Ila akiambiwa na stranger anapata goosebumps so kila kitu kinataka kiasi, you cant overdo it japo ni vyema kumsifia mkeo daily
Mara moja siyo mbaya sema shida tunajisahau sana
 
Back
Top Bottom