King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Andaa movie mkuu hii stori imekaa njema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi eti mwanamke amepata hadi nguvu za kwenda kazini, yani means hana hata chembe za uoga juu ya tukio alilolifanya usiku.
Na ndoa zilidumu,kizazi cha smart phone hiki sio cha kuchezeaBabu yangu aliniambia mwanaume akitoka matembezi/ safari akifika kilometa 1 au zaidi kabla ya kufika nyumba lazima atamtuma mtoto nyumbani kwake kwa kumpa koti/ mboga au kitu chochote huyo mtoto akipeleke nyumbani na hiyo ni inshara kuwa baba mwenye nyumba yuko karibu anakuja na lengo lao kubwa ilikuwa kama mke anakichwa humo ndani ilikiweze kukimbia wasifumaniwe.
Ingawa kwa kisa hicho ni kweli mke anaweza kuwa kafanya dhambi kubwa ya uzinifu lakini binafasi naona kama kisa tu cha kutunga.Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya
Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.
Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,
Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,
Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion
Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana
Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi
Jamaa:hey beautiful missed you
Mke: hey baby missing you more
Jamaa: missed your voice sana
Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.
Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa
Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena
Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa
Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza
Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata
Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa
Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu
Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,
Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,
Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .
Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo
Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan
Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?
Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,
Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone
Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,
Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu
Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.
Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Mbona unamlaumu anaehisiwa kuliko mwanaume aliekiri kuchepuka haya mambo hayajaanza leoMkuu wanawake wamekwisha?
Mimi nachukia sn mwanaume kushindwa kufanya maamuzi ya kiume kwa kisingizio cha watoto watateseka.
Hebu jiulize maswali haya.
1-- ukianguka Leo watoto wataishije?
2--huyo mwanamke aliyefikiria kugegedwa nje hakuwafikiria watoto?
Jamii imemfanya mwanamke aone kuwa ndoa ndo kila kitu, ukiachika unadharaulika...ung'ang'ane hapo hata Kama unateseka .Ujue wanaofanya huu upuuzi uendelee ni wanawake wanaoabudu ndoa kama pumzi, aisee me nakerekwaga hadi rohoni unakuta mtu anapitishwa kwenye moto ila yumo tu,ki ukweli mme wangu ananijua vizuri nihesimu nikuheshimu,nifanyie ushenzi nikuonyeshe ushenzi plus kama tulioana kwa mapenzi na makubaliano vikiisha kila mtu achukue njia yake watoto atalea hata akiwa mbali,siteseki kwa upuuzi mimi, nivumilie shida za maisha na ujinga wa makusudi nehi!
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Jamii imemfanya mwanamke aone kuwa ndoa ndo kila kitu, ukiachika unadharaulika...ung'ang'ane hapo hata Kama unateseka .
Mimi nionekane tu na kiburi lkn hata kama tuna miaka 40 ya ndoa huyu wangu ananijua kuwa nitasepa akinizingua. Narudi kwetu na aibu sioni.
Kukiwa hakuna amani na yeye haitafuti hiyo amani nabeba virago afanye jitihada za kunirudisha.
Kuwaendekeza hawa viumbe unaweza dharaulika hadi basi.
Ni kutumia akili si lazima kufata sheria za dini Kama unaona zinakandamiza.Kwa mambo kama hayo ndio maana nazidi kuupenda Uislam. Uislam kuachana kwa mapungufu yoyote ya ndoa ni ruksa. Pia ni shria kabisa kwa mwanamke kuweza kumuacha mume (inaitwa khuluu) ikiwa hatimizi wajibu wake wa ndoa.
AlhamduliLlahi, Uislam umeweka rights za mwanamke miaka zaidi ya 1,400 iliyopita na zingali hai na zinatumika mpaka leo hii na zitatumika milele. Labda iwe mwanamke ni poyoyo tu na haujui Uislam wake ndio adhalilishwe na mume.
DuhHapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...
Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!
Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Ungesubiri waanze kabisa ili ujifunze ulikuwa unakosea wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Mkuu tupe mrejesho mke karudi na mpo ktk hali gn kw sasa?
Hv huyo mwanamke Ni kabila gani ambaye ajali ndoaa kbsa naomba uniambia niendelee kuchukuwa taadhari
Dah,yani kwa uandishi huu tu na hizi regrets zako unaonekana bado unampenda saaana mkeo basi tu wanaume hua mnajisahau kwa wake zenu mnahisi mkituweka ndani basi ndo kila kitu embu mpe muda kidogo ajitafakari ila usimuache please
kuacha mke maandalizi kama vile maandalizi ya kuoa. Tumia akili, juhudi na maarifa. Unaweza ukaacha halafu wewe ndo unajuta. Ila mkeo komandoo kaenda na kazini duhhhh
Vipi kazini we uliweza kwenda.
kuna mwanamke niliamua kumpangisha mpaka chumba siku moja tupo wote akawa anachat na kajamaa kake mpaka jamaa akamwambia vip mshkaji hayupo?? kaka jibu acah kumzungumzia tufanye yetu… Jamaa akamwambia nakupenda sana japo wew mke wa mtu demu akamjibu nakupenda piaa yani nilivyoona zile msg niliomba sana Mungu anipe uvumilivuu maana siku ile ningeuaa walahii… kesho yake nikamwambia nataka kuishi mwenyewe kwa sasa yani hata hakakuniuliza kitu kakaacha funguo kakasepa na vitu vyake sasaa ubaya Usiku sijui jamaa ake alikuwa hana geto kanaanza kuniuliza mbona nimerudi umefunga mlango [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] WANAWAKE HAWA KAMA HUNA MOYO MGUMU WALAHI ATAKUENDESHA SANA.
Ulimtomasa tu! Yaani umempiga kibao na akaamka kwenda kazini?Hahahahahaha mwenyewe limeshangaa mkuu nimefungua tu mlango kabigwa na butwaa anawahi kuchukua ndoo aende bafun nikapiga kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usicheke mkuu ile hali sitakaa nitake ijirudie
Je wewe acha kutishia umma ingekuwa mimi unipige kudadadeki ningekufanyia maigizo ya kichina na kimeru na kiniger ningekufumua mpaka hicho kichaa kiishe shuwaini huyo mam anatakiwa akupeleke ustawi wakamii.
Wewe ni ngumi kabisa ,makofi seriously makofi ya mwanaume unayajua?
Wewe mwanamume ni muuwaji.
Kidudu mtu mkeo ameona unapenda Ksana .
Eti wanavuta bangi unatofauti gani na hao.
Unampiga mkeo .
Ex wangu alikuwa akijua unachepuka anakuita siku mko free mnakunjana mpaka ukisema umechoka anakuuliza huko hukuchoka acha hizo nataka usirudie tena.