Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Brother we msamehe,angeweza kugongwa na usijue tu,Cha msingi mueleweshe atakuelewa,hata ukioa mwingine ipo siku atajiachia,utaoa wangapi?
 
Na ndoa zilidumu,kizazi cha smart phone hiki sio cha kuchezea
 
Ingawa kwa kisa hicho ni kweli mke anaweza kuwa kafanya dhambi kubwa ya uzinifu lakini binafasi naona kama kisa tu cha kutunga.

Kwa maana hiyo, kwa mapungufu yoyote ya mkeo inabidi kwanza ujitazame wewe una mapungufu yepi katika kuishi nae.

Kwanza tujulishe huyo ni mkeo wa ndoa au ni mke wa kukubaliana wenyewe tu na hamkufunga ndoa aina yoyote ile, iwe ya kidini au kiserikali?
 
Mbona unamlaumu anaehisiwa kuliko mwanaume aliekiri kuchepuka haya mambo hayajaanza leo
 
Jamii imemfanya mwanamke aone kuwa ndoa ndo kila kitu, ukiachika unadharaulika...ung'ang'ane hapo hata Kama unateseka .
Mimi nionekane tu na kiburi lkn hata kama tuna miaka 40 ya ndoa huyu wangu ananijua kuwa nitasepa akinizingua. Narudi kwetu na aibu sioni.
Kukiwa hakuna amani na yeye haitafuti hiyo amani nabeba virago afanye jitihada za kunirudisha.

Kuwaendekeza hawa viumbe unaweza dharaulika hadi basi.
 

Kwa mambo kama hayo ndio maana nazidi kuupenda Uislam. Uislam kuachana kwa mapungufu yoyote ya ndoa ni ruksa. Pia ni shria kabisa kwa mwanamke kuweza kumuacha mume (inaitwa khuluu) ikiwa hatimizi wajibu wake wa ndoa.

AlhamduliLlahi, Uislam umeweka rights za mwanamke miaka zaidi ya 1,400 iliyopita na zingali hai na zinatumika mpaka leo hii na zitatumika milele. Labda iwe mwanamke ni poyoyo tu na haujui Uislam wake ndio adhalilishwe na mume.
 
Ni kutumia akili si lazima kufata sheria za dini Kama unaona zinakandamiza.
Sitazifata kamwe...tuishi tu kwa amani.
 
Duh
 
Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Ungesubiri waanze kabisa ili ujifunze ulikuwa unakosea wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah,yani kwa uandishi huu tu na hizi regrets zako unaonekana bado unampenda saaana mkeo basi tu wanaume hua mnajisahau kwa wake zenu mnahisi mkituweka ndani basi ndo kila kitu embu mpe muda kidogo ajitafakari ila usimuache please

Huwez kuoa mwanamke ambaye humpendi mwanzon mapenz yalikuwa matam zaid baada ya yy kuzaa na mimi kuanza michepuko ndio nikajisahau but haimaniishi simpend
 

Hahahahahaha
 

Uchepuke ww na ustawi unipeleke mimi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…