Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mkuu siku hizi hata akili zenyewe zinadunda , sijuwi tuishi nao kwa namna gani yaan

...hakuna formula maalum,
Maana kila mtu na mtu wake.

Mfano;
kama mwamba alivyofanya hapo, karudi nyumbani bila taarifa...ndio akili yenyewe hiyo.
Huyo mke hata akitaka chepuka tena itambidi atumie mbinu mpya.
 
Acha kabisa. Kutombewa kunauma sana usiombe kabisa. Ukiwaza tu kwamba mke wangu anaweza chorongwa na mtu mwingine inauma sembuse kujua kabisa amechorongwa... Ila hao wamekutana wazinzi wote wapambane na hali yao tu. Kuacha mke sio kutatua tatizo wakae chini watafakari walipokosea then walee watoto...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndio wanaume wengi tunakosea sana! Mwanamke siyo kupiga show tu ndio kunamtuliza asichepuke! Na wala siyo kweli wanakochepukia hukuta show sijui ya maana kuliko walioiacha! Mambo ni complicated sana i see [emoji848]!
Naunga mkono hoja .unaweza piga show bado akachepuka
 
Kwani mnakuwa mnajisikiaje, mbona si tukijua tunaona normal tu ni umalaya wenu?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna hali huwa tunajisikia..hali ngumu sana..
Unahisi roho inatoka lakini haitoki...

Unahisi ni jioni, ila siyo jioni,
Unahisi giza ila siyo giza..

Unahisi njaa ila hakuna kinachopita mdomoni..
Usingizi hauji...

Ukipita mahali ukaona watu wanacheka, unahisi wanakucheka, unahisi wameshajua kila kitu..

Dunia unahisi kama vile imebadili mzunguko, juna uhisi limebaddili mwanga.

Unakaa tu ndani ukiwa mkiwa, kama una roho ndogo unajinyonga au unakunywa sumu, au unaua mtoto wa watu...

Mbaya zaidi ukishatombewa, nguvu za kiume zinaisha pale unapokutana na mkeo....Ukivhomeka dyudyu unakumbuka Msela naye alichomeka hapa, akapiga bao...basi dyudyu linalala.....hata ukilibust kwa betri ya gari ya 24v haliamki..

Hii hali mwanaume anaweza kuishi nayo mwezi moaka miezi..

Dada witnessj narudia tena, Kutombewa sikia tu...usiombe kutombewa...na usiombe ndugu yako wa kiume atombewe...
 
Acha ndugu yangu...Naomba sana hata nikitombewa nisijue...na wakija wambea kuniambia mkeo yupo gest fulani anachezea dyudyu, naomba nipate hekima za kutokwenda kwenye fumanizi, bali nipate hekima za kupakia nguo zake kwenye begi, nikodishw bajaji ipeleke kwao
 
Sasa hapa tatizo liko wapi? Si iko wazi kabisa mwanaume kuna angle anakwama, ndo nafasi yake inazibwa na hilo tango, lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo papuchi ikishazoe hilo tango, sahau kufukishwa kileleni na mwanaume huyu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu..[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji26][emoji26]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume anaathirika sana kisaikolojia, sema hawa wadada hawajui tu.

Nadhani ndo maana hata biblia imeruhusu kumuacha mke kwa habari ya uzinzi
 
Mleta mada mimi kila nikifikiria pale kwenye ameamka na kwenda zake kazini tu

mwili wote unakufa ganzi 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️
 
Kumbe hata ambao hamjaoa mnajua hongera mkuu
 
Kumbe hata ambao hamjaoa mnajua hongera mkuu
Ndoa zina mambo mengi sana ya kupitia na nyakati nyingi tofauti, ukute ata uyo anayeshauri anaishi na mkewe uku kukiwa na rumours baadhi ya watoto sio wake lakini hana mpango wa kuachana na mkewe, wengi wanakurupuka na ushauri wa kuachana bila kuangalia pande zote mbili na watoto walionao wataishi katika hali gani, nafikiri ata wakisameheana wakaishi watakuwa na mwanzo mzuri wa amani ndani ya ndoa yao adi kuzeeka pamoja
 
Sf mkuu kuna watu wanataka wanawake wafanye mambo ambayo wao hawawezi halafu unamwacha kesho mnakutana kupasha kiporo
 
Njia mzuri ya kufanya wapende watoto wako usiwaache utawatesa. Hakuna kitu kizuri kama kuka baba na mama na watoto wako. Mtafute rafiki yake au jamaa yake wa karibu mtafune utasahau machungu yote. Yamenitokea nikafanya hivyo nikapata amani maisha yanaendelea.
 
Mungu akubariki mkuu nakutabiria ustahimilivu ktk ndoa mda ukifika
 
Kuna kauli inasema simba akishaonja damu ya binadamu hawezi kuacha kuitafuta. Piga chini hana sababu ya msingi. Issue sio kwamba alilala na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…