Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Angalia hata wanyama tu bibie, sie tumeumbwa kwa mfano wao na naamini wazungu wangelileta hili enzi za ukoloni na kuwaelewesha basi leo tungekuwa na familia imara sana!

Hizi lawama zisingekuwepo, angalieni wanawake wenzenu wa kimasai.
Sisi tuna wivu sana mnajua hilo....sitaki kushare

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu upo sahihi Mzee mmoja miaka ya 90 nikiwa mdogo aliwai niambia ktk maisha omba Mungu usifumaniwe na mke wa mtu wala usimfumanie mkeo.
Kweli mkuu, kufumaniwa na kufumania mkeo ni jambo la hatari sana...
Wambea wakiniambia mke wangu analiwa gesti flani, wala siendi.....
Dunia bado tamu hii

Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
 
IMG_0093.jpg
 
Na hiyo papuchi ikishazoe hilo tango, sahau kufukishwa kileleni na mwanaume huyu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu..[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji26][emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutaishi humo tyuuh.
 
Zamani,
Hii jamii ya siku hizi mume utaonyeshwa sympathy ya kinafiki tu siku ya kikao, behind your back utasikia wanakung’ong’a “kama ana tatizo la nguvu ya kiume lazima asaidiwe!”
Wapi nduruuuuuuuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanuni ni hiii "tiba ya usaliti ni kisasi".
Iko wazi hii ni kanuni "mwanamke akisalitiwa mara nyingi anawaza kulipa but mwanaume akisalitiwa anafukuza" sijui kwanin mnawalaumu wanaume wakiishi kwenye hii principle.
 
Asipoishi na mama watoto wake kuna baharia atajitokeza kuchukua nafasi ya mkewe?
Hakuna baharia atakayeweza kufanya hivyo sababu atatupa kazi nyingine ya kushauri km ambavyo jamaa amefanyiwa coz its obvious huyo demu hataachana na huyo jamaa that's why mabaharia wote wanamshauri jamaa a-move on angalie taratibu za kulea mtoto km ni wake.
 
Back
Top Bottom