Nimekupa kwenye commentMbona siioni?
Sisi tuna wivu sana mnajua hilo....sitaki kushareAngalia hata wanyama tu bibie, sie tumeumbwa kwa mfano wao na naamini wazungu wangelileta hili enzi za ukoloni na kuwaelewesha basi leo tungekuwa na familia imara sana!
Hizi lawama zisingekuwepo, angalieni wanawake wenzenu wa kimasai.
Hapo sasa umeongea point mrembo 😜😍😍😍Sisi tuna wivu sana mnajua hilo....sitaki kushare
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu, kufumaniwa na kufumania mkeo ni jambo la hatari sana...Mkuu upo sahihi Mzee mmoja miaka ya 90 nikiwa mdogo aliwai niambia ktk maisha omba Mungu usifumaniwe na mke wa mtu wala usimfumanie mkeo.
We acha tu.Hahaha kabeba “squirting tools” kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Asipoishi na mama watoto wake kuna baharia atajitokeza kuchukua nafasi ya mkewe?Atakuwa amesaliti kikosi kazi kilichosimama na yeye kutetea alichofanyiwa. Mabaharia sasa watamgeuzia Kibao..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutaishi humo tyuuh.Na hiyo papuchi ikishazoe hilo tango, sahau kufukishwa kileleni na mwanaume huyu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu..[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji26][emoji26]
Unachapiwa shtuka weye lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazidi kunifanya niwaze nje ya box..
mnapata dyudyu kinya kimya..??
Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
Kanuni ni hiii "tiba ya usaliti ni kisasi".Acha kuhalalisha usaliti kwa wanaume wewe[emoji57][emoji57]
Sijui wakina mama blah blah, kwanini nyie mle nje? Sisi hatuna mioyo? Hatuumii?
Ukikamatwa ujue umehalalisha usaliti to both of you
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wapi nduruuuuuuuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani,
Hii jamii ya siku hizi mume utaonyeshwa sympathy ya kinafiki tu siku ya kikao, behind your back utasikia wanakung’ong’a “kama ana tatizo la nguvu ya kiume lazima asaidiwe!”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoma draw hapo.Kinachoendelea huko saa hii ndiyo hikiView attachment 1808480
Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anabadili ID maisha yanasonga.
Asipoishi na mama watoto wake kuna baharia atajitokeza kuchukua nafasi ya mkewe?
Iko wazi hii ni kanuni "mwanamke akisalitiwa mara nyingi anawaza kulipa but mwanaume akisalitiwa anafukuza" sijui kwanin mnawalaumu wanaume wakiishi kwenye hii principle.Kanuni ni hiii "tiba ya usaliti ni kisasi".
Hakuna baharia atakayeweza kufanya hivyo sababu atatupa kazi nyingine ya kushauri km ambavyo jamaa amefanyiwa coz its obvious huyo demu hataachana na huyo jamaa that's why mabaharia wote wanamshauri jamaa a-move on angalie taratibu za kulea mtoto km ni wake.Asipoishi na mama watoto wake kuna baharia atajitokeza kuchukua nafasi ya mkewe?
Yaan mtu anashauri kwa kufoka tazani yamemkuta yeye......na ukute wahusika washasameheana kitamboSwali zuri sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa atakuwa alikuwa na hali mbaya acha watu wamsaidie kusemaYaan mtu anashauri kwa kufoka tazani yamemkuta yeye......na ukute wahusika washasameheana kitambo
Kuchapiwa tunachapiwa sana tu, bora adabu na heshima viwepo...asiniwekee mazingira ya kujua...Unachapiwa shtuka weye lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]