Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Yaani Mkuu huu uzi umenipa maelimu makubwa hasa, yaani toka umeshushwa nikapata maarifa yenu
leo hatimae nimeachana na nyumba ndogo, kumbe tulikuwa tunapangwa, nimemjazia kila kitu kuanzia kitanda godoro, TV na mazagazaga, sasa kwa kunichezea akasema anarudi bush vitu nimpelekee Mama yake atumie /alalie, yeye huku akawa analala chini nikampa tena godoro
Wahenga wanasema Mbwa wako akianza kukubadilikia ujue kuna mtu jirani anamlisha
mwingine akaniambia Mwanamke kama hajakutambulisha kwa wazazi wake huyo atakuacha
sasa nikafanya unyama nikazamia kwao na njagu, Mama ananitambua nikakomba vyangu vyote nikaja na nilipompangia akiingiza vidume nikaongea na mwenye nyumba akaniruhusu nikakomba
sasa Mzigo mkubwa sina pa kuuweka na wife hajawahi hisia nina mchepuko, na sitaki akirudi usiku aone vitu vya ajabu vimelaliwa, bado vipo ndani ya buti na gari kwani niling'oa siti na ni tinted
askari kaniomba nimeshtuka
Nawashukuru sana kunipa mchongo wa Truck system tunaibiwa na kudharaulika jamani na hawa wezi hata kuzaa hawataki tena mwisho watatubambika tulee visivyo vyetu
 
Acha kulainisha mke wa jamaa alivua nguo na kuingizwa mkuyenge na msanii .labda akumbuke dogo alivyokiwa anakula doggstyle
 
Acha kulainisha mke wa jamaa alivua nguo na kuingizwa mkuyenge na msanii .labda akumbuke dogo alivyokiwa anakula doggstyle
Ajue hata yeye huwa anawaingizia wengine vilevile, anafikiri mkewe huwa anajiskiaje, au maumivu ya mapenzi hayajui watu wanatoka nje adi anazaa na anasamehewa sembuse kuingiziwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa si ungemfungulia mlango mwenzie aingie? Lol
jamaa kimsboy alimpangia chumba bint mbali na yeye alalapo, sasa alipomwambia anataka aishi mwenyewe bint akaondoka, kwa matambo, ilipofika usiku ina maana bint kwa huyo bwana mwizi hawana pa kulala, ndipo akamtext kimsboy mbona funguo ya chumba hakuiacha
INAFANANA na ya kwangu nilipomsombea nyyumba ndogo kitanda na godoro kwa kosa la kuingiza vidume, sasa kaja usiku akakuta chumba kitupu kaangua yowe, leo kanitokea anaomba msamaha angalau apate pa kulala tu, hataingiza tena mtu kumsalimia
Sijamkubalia bado hasira kunichangia chungu kimoja na kibodaboda, ingawa nami nina mke anayenihitaji kila night, nimemruhusu aolewe kanijibu wanaume wa kuoa hawapo, DUH WANAWAKE KZ IPO KM HUPO ANAJISUUZA NA YOYOTE
 
Haya.makitu yatatupeleka motoni mitihani mingi
 
Wacha ujinga km ana kismart pesa sana unspiga unaweka mijengo ya maana.muache.ukae nae!!

Lkn km kimavi mavi huna maendeleo yeyote....umepanga.hela shida piga teke tu atajiju!!!

Usiangalie nyuma.
 
Duh!!! Pole Sana Mkuu...
Ushauri wangu: fanya maamuzi kwa kufuata moyo wako unasema nini.
 
Aaah kugongewa NOMA, tena ile ya kulipiziwa, au msela anainyanyukia mashine yako
halafu wavuta bhange eti mwanamziki, jamaa yetu anasema
Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo
 
Duh ngum kumeza inauma Sana pole mkuu ktk hili sikiliza kichwa na moyo wako Kisha fanya maamumiz
 
Iko wazi hii ni kanuni "mwanamke akisalitiwa mara nyingi anawaza kulipa but mwanaume akisalitiwa anafukuza" sijui kwanin mnawalaumu wanaume wakiishi kwenye hii principle.
Principle ipi hiyo? Hii ya uonevu? Poleeh sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni vururu tyuuh.
 
Your browser is not able to display this video.

cocastic

Mkuu km una bundle lkn uone Dunia ilivyo kusalitiana kupo na kusameheana
Your browser is not able to display this video.

Wanawake wana samehe sana
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…