Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Ww ulivyokuwa unatoooooooo.....mba nje ilikuwa poa ila yeye kuliwa kidogo tu imekuuuuumaaa. Kuchepuka mchepuke nyie ila tukifanya sisi mnalia mmeonewaa
 
Screenshot_20220319-133159~2.png
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Jambo lako ni gumu sana linahitaji hekima sana, jipe muda wa kutosha kutafakari na kuamua.
 
Living stone jiwe linaloishi umemkura mke wa jamaetu una roho mbaya km jina lako jiwe
 
Samehe ili kuwa na watoto wenye malezi ya baba na mama. Pia umesema nawe unamichepuko hivyo samehe tu
 
Wwe umejuwaje Kama kaliwa kidogo!? Thibitisha!!

Saivi watu wakijua wanakula mke wa mtu wanapaka mkongo, wanakunywa energy drink na paracetamol akikamatiwa hapo uchi una waka moto. Eti kaliwa kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda kaliwa ndogo sio kidogo.
 
Mkuu mi sijaoa,

Lakini nashauri Umsamehe mwenzio mkae muishi pamoja na kulea watoto.

Kwa sababu kama kucheat na wewe ulicheat, kama kuumia nae aliumia the same sasa tazama usaliti wake ni kama malipo ya dhambi zako. Ukijitazama peke yako utaishia kuwatesa watoto tu kaka.

Katika Uandishi wako umeonekana kuwa Objective sana naamini utanisikiliza.

Tubu, Tulia na mkeo, msihi nae atulie mjenge Familia yenu.
hujaoa ww -huna nafasi ya kucomment hapa

Go and Grow up afu uje tena apa
 
Weka mihemko kando, si suala binafsi la mimi kuoa ana la hebu jikite kwenye athari ya ushauri.
Na hasa angalia faida na hasara za anachotaka kufanya mahisia yako yahifadhi kwa matumizi yako binafsi. Kwahiyo unataka waachane halafu watoto wake ulee weye?

Hajasema kwa ubaya bali sidhani Kama anajua uchungu wa kujua mke wa halali wa ndoa akiliwa inaumaje. Lakini pia sio sahihi kumuacha mana Hakuna alie perfect ka nalo hili “everybody cheats, it’s known when caught if not they play it safe”, sio kisa ujamkamata Ndio useme akusaliti analiwa vzuur tu.
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Sasa mtaingizaje madume wawili shimo moja? Achana naye huyo!
 
AKIPANDACHO MTU NDICHO AVUNACHO. Ulipanda usaliti(uzinzi) umevuna usaliti.

Ibilisi aliyekupa Roho ya Tamaa ndiye aliyempa Yeye Roho ya tamaa.

Unapo oa unaenda Kwenye Imani yako unaamini Mungu kawaunganisha. Je kwa nin huiweki ndoa yako mikononi kwa Mungu aitawale. Adui kaingia umeacha mlango wazi.

Kila siku watu wanaanza Upya. Unakiona kibanzi cha mkeo chako hukukiona shame. Pumbafu kabisa.

Hutakaa ufanikiwe na ufalme wa Mungu kuuona ni kazi maana U kipofu na Mfu. Yeyote aliye kinyume na Mungu ni kipofu.

Tubu. Mrudie mkeo nae atubu muanze upya. Wanadamu mmheshimuni Mungu.

Watoto wataridhi hilo la kuachana ni lazima. Wataoa wataacha.Ataolewa ataachwa ili uzinzi uendelee shetani aendelee kuvuna. Hata wewe huko kwenu au kwao mwanamke fatilia waliowatangulia Ndio maisha zinaa kuachana. Na mnaenda kuabudu na sadaka unatoa na Mtumishi wako kipofu haoni shida zetu[emoji13] Dini ni mavi. Mlilie Mungu kwa ajir ya kizazi chako ndugu yangu. Acha dhambi Usimpe nafasi ibilisi tena ni MUONGO
 
Back
Top Bottom