Pale pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute kuna ofisi za watu wa ustawi wa jamii huwa wana uwezo wa kukupa barua ya uthibitisho wa shida yako ya kushindwa kumudu gharama za matibabu
Kisha unaweza kupewa mawasiliano ya NGOs mbalimbali ambazo zimekuwa zikishirikiana na JKCI mfano ni ROTARY CLUB, SAVE THE CHILDREN nk
Kama utaweza anzia hapo hapo JKCI kupata taarifa za NGOs ambazo huwa zinatoa misaada hapo zipo nyingi sana pale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.