Scrum Master
JF-Expert Member
- Apr 28, 2021
- 243
- 424
Punguza kuandika sana nenda site kaanze ujenzi mdogo wangu.Punguza makasiriko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kuandika sana nenda site kaanze ujenzi mdogo wangu.Punguza makasiriko
1. Madirisha yapo kwenye kila chumba, naona alisahau kuyaweka kwenye hii draft.
2. Office na laundry kwa life style yangu ni muhimu. Sijui kwa nini umeshauri niviondoe!!!
3. Umesema niongeze ukubwa wa sitting room. Sitting room ya 4*6 meters ni ndogo? Mbona naona kama inatosha kabisa?
4. Nitaongeza kidogo dining, ila Jiko la 3*3 ni dogo?
Open kitchen inawafaa wazungu ambao vyakula vyao vinginni vya kupasha kwenye oven na microwave msosi unakuwa tayari...mapishi ya bongo complicated mara wabandike maarage, mara nyama, .mAra makande, mara kitimito hapo sebuleni makochi yote yatakaa shombo...na hizo ceiling zitaota fungus kutokana na condensation zisizoeleweka..na hizo harufu za misosi mpaka iive unakuwa umeshiba harufuNi kweli mkuu, kwenye ramani nyingi huwa haipo hivyo.... lakini ramani nyingi ni majiko ya kujitenga na Dining (closed kitchen).
Hii hapa ya open kitchen, si jiko na Dining ni chumba kimoja kirefu kilichoshikana? Kuweka mlango kwenye makutano ya jiko na dining (zinapokutana), si sawa tu? Ili jiko liwe na space ya makabati.
Au mimi ndio naona isivyo sahihi?
Unakuwa na jiko la nje kwa ajili ya kuchemsha maharage na dagaa.Open kitchen inawafaa wazungu ambao vyakula vyao vinginni vya kupasha kwenye oven na microwave msosi unakuwa tayari...mapishi ya bongo complicated mara wabandike maarage, mara nyama, .mAra makande, mara kitimito hapo sebuleni makochi yote yatakaa shombo...na hizo ceiling zitaota fungus kutokana na condensation zisizoeleweka..na hizo harufu za misosi mpaka iive unakuwa umeshiba harufu
SawaUnakuwa na jiko la nje kwa ajili ya kuchemsha maharage na dagaa.