Mrejesho: Mgonjwa wangu wa sukari anaendelea kuzidiwa

Ndio Bado anachoma insulin alianza na mixed Sasa hivi walimbadilishia dozi anachoma soluble na genine sijui hakuna dawa yoyote yakumeza anayotumia...pia hatumii dawa yoyote ya presha..namim nimehisi huko kutetemeka nisababu ya presha ila nikimwambia dokta anasema presha inakua juu sababu ya homa joto ilo ...wamechukua damu na mkojo kwenda kupima vitu hivo baadhi ulivyovotaja nimeskia wanasema wanapenda kupima malaria,UTI,electrolyte...napia wameshampima sumu iyo DKA kama Bado ipo wamesema haipo
Kama mgonjwa wako tayari yuko hospital, wwe relax wataalamu wa afya hapo watafanya kazi yao!!
 
Poleni sana. Tunamuombea nafuu ya haraka na mpate huduma sahihi
 
Niwie radhi, pengine maneno yangu nitakayokuambia yakakuudhi.

Mkuu, nakusihi acha WENGE.

Ninachokiona kwako ni kuwa unahitaji unafuu wa haraka kwenye swala zito linalohitaji muda ili kuweza kutengamaa.

Madaktari unaokua nao ndiyo wanaomhudumia mgonjwa wako kwa ujaribu zaidi. Hebu wasikilze na ujawe na Imani kuwa they're trying the best they can.

Hindu Mandal is one of the best hospitals likija kwenye swala la sukari. Tulia Mkuu wangu. Ushauri si mbaya Ila unaweza kukudisturb. Matibabu yanahitaji muda.

Huko kutetemeka kunaweza kuwa kwa sababu ya electrolyte imbalance. Na kama wanamonitor basi atarejea katika Hali yake. Au pengine kwa sababu ya side effects za baadhi ya dawa. Au Kuna maambukizi mengine yaliyotokea, wafanye namna wajue nini haswa. Subiri, kuwa na uvumilivu ndugu.
 
Ndio Bado anachoma insulin alianza na mixed Sasa hivi walimbadilishia dozi anachoma soluble na genine sijui hakuna dawa yoyote yakumeza anayotumia...pia hatumii dawa yoyote ya presha..namim nimehisi huko kutetemeka nisababu ya presha ila nikimwambia dokta anasema presha inakua juu sababu ya homa joto ilo ...wamechukua damu na mkojo kwenda kupima vitu hivo baadhi ulivyovotaja nimeskia wanasema wanapenda kupima malaria,UTI,electrolyte...napia wameshampima sumu iyo DKA kama Bado ipo wamesema haipo
Good catch-up....tusubiri majibu then tuendelee kumuombea
 
Ndio Bado anachoma insulin alianza na mixed Sasa hivi walimbadilishia dozi anachoma soluble na genine sijui hakuna dawa yoyote yakumeza anayotumia...pia hatumii dawa yoyote ya presha..namim nimehisi huko kutetemeka nisababu ya presha ila nikimwambia dokta anasema presha inakua juu sababu ya homa joto ilo ...wamechukua damu na mkojo kwenda kupima vitu hivo baadhi ulivyovotaja nimeskia wanasema wanapenda kupima malaria,UTI,electrolyte...napia wameshampima sumu iyo DKA kama Bado ipo wamesema haipo
Hapo kwenye Malaria,UTI,na elecrolyte ni muhimu kwakuwa mgonjwa wa kisukari akiwa na infection yoyote kwenye damu lazima sukari ipande...
 
Kama anatetemeka anaweza kuwa na infections kwenye damu na jitahidini sana kucontrol hiyo sukari vinginevyo itaharibu figo maana hapo tayari ana shida ya sukari na presha ambavyo ni visababishi vikuu vya kuharibu figo na kuzifelisha
 
Niwie radhi, pengine maneno yangu nitakayokuambia yakakuudhi.

Mkuu, nakusihi acha WENGE.

Ninachokiona kwako ni kuwa unahitaji unafuu wa haraka kwenye swala zito linalohitaji muda ili kuweza kutengamaa.

Madaktari unaokua nao ndiyo wanaomhudumia mgonjwa wako kwa ujaribu zaidi. Hebu wasikilze na ujawe na Imani kuwa they're trying the best they can.

Hindu Mandal is one of the best hospitals likija kwenye swala la sukari. Tulia Mkuu wangu. Ushauri si mbaya Ila unaweza kukudisturb. Matibabu yanahitaji muda.

Huko kutetemeka kunaweza kuwa kwa sababu ya electrolyte imbalance. Na kama wanamonitor basi atarejea katika Hali yake. Au pengine kwa sababu ya side effects za baadhi ya dawa. Au Kuna maambukizi mengine yaliyotokea, wafanye namna wajue nini haswa. Subiri, kuwa na uvumilivu ndugu.
Acha niwe mvumilivu boss..nauliza nahili Swala la mapigo ya moyo kuwa juu zaid ya 120 nahana dawa yoyote anayotumia
 
Kama anatetemeka anaweza kuwa na infections kwenye damu na jitahidini sana kucontrol hiyo sukari vinginevyo itaharibu figo maana hapo tayari ana shida ya sukari na presha ambavyo ni visababishi vikuu vya kuharibu figo na kuzifelisha
Ndo madaktari wanajaribu kumbadilisha dozi juzi kaanza dozi nyingine kabisa
 
Acha niwe mvumilivu boss..nauliza nahili Swala la mapigo ya moyo kuwa juu zaid ya 120 nahana dawa yoyote anayotumia
Hapo madokta wanaweza kumpa dawa ya presha hasa jamii Beta Blocker zinasaidia kushusha mapigo ya moyo na hata kuiweka presha kwenye hali mzuri. Mungu amsaidie najua ni hali gani anapitia huyo mgonjwa wako
 
Ila Cha ajabu mapigo yake ya moyo Yako juu sana 122 na presha Iko juu Sasa je hapa vip kupewa dawa za presha
Mkuu hii ya pressure kupanda umeiongelea mara nyingi nachoona mimi ni saikolojia yake yeye mwenyewe mgonjwa inamzidishia hii hali seems ana hofu sana na anawaza ukizingatia ugonjwa umemjia ghafla, jaribuni kumshauri apunguze hofu na kuwaza maana ndicho kinamchelewesha kupona
 
Ila Cha ajabu mapigo yake ya moyo Yako juu sana 122 na presha Iko juu Sasa je hapa vip kupewa dawa za presha
Tulizana:
Presha si sababu halisi ya kutetemeka.
Kutetemeka kwaweza kutoka na suala la homa au madini mwilini kutokuwa sawa ambacho ndo wataalamu wanakiangalia.

Homa inaweza kutokana na pamoja na maambukizi yoyote. Maambukizi unaweza kuyapata hospitali au kwa njia nyingineyo ambayo kimekuwa chanzo cha stresi kwenye mwili, kupandisha joto, presha na mgonjwa kutokuwa sawa.

Kama alikuwa na suala la presha kwa hizi siku zilizopita akiwa hospitalini au kabla, litaangaliwa cha kufanya, lakini kama alikuwa sawa, suala la muhimu ni kufanyia kazi joto hilo na kutibia chanzo pia endapo joto likishuka, presha na mapigo ya moyo yatarejea vyema.
 
Habari wakuu

Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza kutetemeka na kusikia baridi na kuchemka akapimwa sukari ikawa 12 presha 150/95 pr 135 akapewa drip ya Panadol hadi kufikia asubuhi bado iko hivyo hivyo kutetemeka sana kuchoka sukari iko 16 kapewa tena drip.

Mgonjwa alikuja akiwa hali mbaya akawekwa ICU siku 2 sukari ikiwa 34 akatoka akawa yuko poa tu ila sukari ikawa inacheza asubuhi 12 akila inaenda 17.

Sukari ilimletea sumu ila sumu ikatolewa yote akawa poa anatembea mnapiga

Sasa joto lake linaongezeka anatetemeka sana anahema sana mwili unaishiwa nguvu

- Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34
Huu ugonjwa uusikie tu kwa wengine! Kiufupi ni ugonjwa hatari sana. Maana uhakika wa kuishi na kuondoka ni 50/50.

Halafu wakati wagonjwa wanahangaika na matibabu, kuna matapeli wanajisifu hadharani na bila hatta chembe ya aibu! kuutibu huu ugonjwa eti kwa miujiza!!!
 
Habari wakuu

Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza kutetemeka na kusikia baridi na kuchemka akapimwa sukari ikawa 12 presha 150/95 pr 135 akapewa drip ya Panadol hadi kufikia asubuhi bado iko hivyo hivyo kutetemeka sana kuchoka sukari iko 16 kapewa tena drip.

Mgonjwa alikuja akiwa hali mbaya akawekwa ICU siku 2 sukari ikiwa 34 akatoka akawa yuko poa tu ila sukari ikawa inacheza asubuhi 12 akila inaenda 17.

Sukari ilimletea sumu ila sumu ikatolewa yote akawa poa anatembea mnapiga

Sasa joto lake linaongezeka anatetemeka sana anahema sana mwili unaishiwa nguvu

- Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34
Pole sana, tunashukuru kwa mrejesho.

Kwa sababu yupo hospital waachie wataalamu waendelee kumhudumia, wapeni tu ushirikiano na muwasikilize wao.

Tunamtakia afya njema!
 
Back
Top Bottom