Mrejesho: Mgonjwa wangu wa sukari anaendelea kuzidiwa

Mrejesho: Mgonjwa wangu wa sukari anaendelea kuzidiwa

Tulizana:
Presha si sababu halisi ya kutetemeka.
Kutetemeka kwaweza kutoka na suala la homa au madini mwilini kutokuwa sawa ambacho ndo wataalamu wanakiangalia.

Homa inaweza kutokana na pamoja na maambukizi yoyote. Maambukizi unaweza kuyapata hospitali au kwa njia nyingineyo ambayo kimekuwa chanzo cha stresi kwenye mwili, kupandisha joto, presha na mgonjwa kutokuwa sawa.

Kama alikuwa na suala la presha kwa hizi siku zilizopita akiwa hospitalini au kabla, litaangaliwa cha kufanya, lakini kama alikuwa sawa, suala la muhimu ni kufanyia kazi joto hilo na kutibia chanzo pia endapo joto likishuka, presha na mapigo ya moyo yatarejea vyema.
Asante sana kwa ushauri
 
Habari wakuu

Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza kutetemeka na kusikia baridi na kuchemka akapimwa sukari ikawa 12 presha 150/95 pr 135 akapewa drip ya Panadol hadi kufikia asubuhi bado iko hivyo hivyo kutetemeka sana kuchoka sukari iko 16 kapewa tena drip.

Mgonjwa alikuja akiwa hali mbaya akawekwa ICU siku 2 sukari ikiwa 34 akatoka akawa yuko poa tu ila sukari ikawa inacheza asubuhi 12 akila inaenda 17.

Sukari ilimletea sumu ila sumu ikatolewa yote akawa poa anatembea mnapiga

Sasa joto lake linaongezeka anatetemeka sana anahema sana mwili unaishiwa nguvu

- Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34
Sijui chochote kuhusu medicine lakini naamini Kuna kitu nyuma ya hiyo sukari. Sio sukari tu hapo unahitaji daktari binwa internal medicine akufanyie diagnosis ya what is the cause of the spike in sugar level. Hapo wanatibu matokeo tu so lazima sukari itaendelea kuwa juu. Kama Kuna mtu anamjua mtaalamu wa Internal medicine then amuelekeze jamaa.
 
Mwenyezi Mungu muweza yote ampe afya Bora mgonjwa

Msiwe na hofu atakuwa sawa
 
Ila Cha ajabu mapigo yake ya moyo Yako juu sana 122 na presha Iko juu Sasa je hapa vip kupewa dawa za presha
Tafuta daktari wa internal medicine atibu tatizo. Organ zake zote zitafeli maana sukari itamaliza hizo figo. Hapo unaenda kwenye renal failure. Tafuta dokta aulizoe historia kamili ya mgonjwa, alikula nini, anatumia dawa gani, damu yake Ina react vipi na vitu mbalimbali. Hapo mnatibu sukari lakini hamribu tatizo.
 
Mkuu pita basi kwanza walikoshauri wenzako uone wamesema nini maana dizain unaandika lugha ngumu na ya kukatisha tamaa sana.
 
Wakati tunamshauri mwenzetu hapa tukumbushane umuhimu wa kufanya mazoezi japo mepesi mepesi ili kupunguza uwezekano wa kukutana na maradhi mbalimbali haya yakiwepo.

Safari za ½saa 3klms tujaribu kusogea kwa miguu mwili utoke jasho in short activities ndogo ndogo tupunguze kutumia njia nyepesi hii itatusaidia sana,tufanye hivi mapema tukiwa na nguvu zetu.
 
Ni muhimu ndio lakini sio matatizo yote ni permanent. Mama yangu alipata kisukari wa sababu ya COVID. Baada ya kupona COVID kisukari kikaisha. Kuna wakati inatakiwa utafute sababu na sio kutibu matokeo. Afrika mara nyingi tunatibu matokeo na sio chanzo!
 
Mkuu pita basi kwanza walikoshauri wenzako uone wamesema nini maana dizain unaandika lugha ngumu na ya kukatisha tamaa sana.
Toka alipoanza kwenye ule Uzi mwingine watu walimdirect kwa doctor wa kisukari. Mara nyingi hapo atatibiwa kisukari badala ya kutibiwa sababu za hiyo sukari kupanda. Sio mara zote sukari inapanda insulin imeshindwa kutengenezwa. I am not a doctor but an internal medicine doctor specialist could help in making the diagnosis and prognosis.
 
Kuna sehemu unaelekea unajua kitu

Unaweza ukawa na pressure na mapigo ya moyo Ila tatizo likawa nimarelia ukiitobu marelia ukawa umetibu pressure na mapigo ya moyo kwenda mbio

Hii huwa inanitokea most of the time
 
Mkuu
Hii sukari 34 au 32? Maana kikawaida ikifika 32 halafu ikavuka kipimo kinasoma Hi yaani High

Wakati mgonjwa anaendelea na tiba, jitahidini kwenye tibalishe. Pia kumbuka sukari siyo ugonjwa bali matokeo ya ugonjwa. Chukueni vipimo vikubwa kubaini maradhi mengine yanayomsumbua
Inategemea na instrument wanayotumia, nyingine zinazoma hado 40 mmol/L
 
Kama una mtu ni prediabetic au anaanza tu kuwa diabetic (7.8-13.5), supplements hizi zinasaidia sana kurudisha blood levels kuwa normal kabsa.

1729371568763.jpeg

1729371695157.png
 
Mrejesho
Majibu ya vipimo vya mgonjwa wangu wa sukar hapa posta..wakuu toeni mawazo yenu niendelee kubaki Hapa au nikimbilie muhimbili
 
Attachments

  • IMG_20241020_223913.jpg
    IMG_20241020_223913.jpg
    1.1 MB · Views: 6
Poleni na tuliza wenge
Kama uko hospitali tayarri inatosha, acha kuzunguka kila hospitali ambako kila unaokoenda wataanza upya na gharama zitazidi
Kama hapo ulipo unatibiwa na daktri wa kawaida, yaani general practitioner, jaribu kuuliza hapo ulipo kama kuna daktari wa Endcronologist, hao ndio wataalamu wa mambo ya sukari na pia wataangalia kama figo ziko sawa, sukari huwa inaeenda kuharibu figo
Na pia pressure huwa inaharibu figo kama sukari, lakini naona majibu yanaonyesha creatinine level bado ziko sawa lakini kwenye level za juu, hapo ni kuangalia sana hio, ikizidi zaidi ya hapo inaenda kuharibu figo
Diabetes ni type gani A au B?
Anatumia dawa gani ?
Kama A anatakiwa awe na insulin ya kujichoma
Kama B anatakiwa awe anatumia dawa kama Metformin
Pia angalieni sana lishe ya mgonjwa iwe sahihi sio kula sana vyakula vya wanga bali kwa kiasi
Mkuu nimemtoa hapo nimeenda MNH...maana wamenila gharama hata datar bingwa kuonana nae wanazungusha zungusha mara Leo hayupo ikifika kesho,kesho nae hayupo,aalafu Sasa wao nidrip ya maji, insulini,drip ya panaldo ukiwaambia mgonjwa wangu mbona Bado kichwa kinaumaa saana moyo kuuma mfanyieni vipimo wanakuambia tumefanya Kila kitu kipo sawa..kufika MNH kafanyiwa checkup ya haraka wakabaina anadamu 6.3 hapo hapo wakafanya taratibu za damu aongezewe,wakat huko nlipokua kakaa siku7 wanakwambia damu iko9.8.mpaka asubuh ya Leo wakasema damu Iko sio mbaya..lakini mgonjwa akawa Yuko hoi hawezi tembea Wala kuinama kichwa na moyo vinaumaa balaa hawezi kutembea kuinama
 
Huu ugonjwa uusikie tu kwa wengine! Kiufupi ni ugonjwa hatari sana. Maana uhakika wa kuishi na kuondoka ni 50/50.

Halafu wakati wagonjwa wanahangaika na matibabu, kuna matapeli wanajisifu hadharani na bila hatta chembe ya aibu! kuutibu huu ugonjwa eti kwa miujiza!!!
Na wewe bana sasa hapo si unampa hofu...
Hata ww mzima maisha yako yako 50 kwa 50 huna uhakika wa kuishi kama mgonjwa tuu...
 
Habari wakuu

Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza kutetemeka na kusikia baridi na kuchemka akapimwa sukari ikawa 12 presha 150/95 pr 135 akapewa drip ya Panadol hadi kufikia asubuhi bado iko hivyo hivyo kutetemeka sana kuchoka sukari iko 16 kapewa tena drip.

Mgonjwa alikuja akiwa hali mbaya akawekwa ICU siku 2 sukari ikiwa 34 akatoka akawa yuko poa tu ila sukari ikawa inacheza asubuhi 12 akila inaenda 17.

Sukari ilimletea sumu ila sumu ikatolewa yote akawa poa anatembea mnapiga

Sasa joto lake linaongezeka anatetemeka sana anahema sana mwili unaishiwa nguvu

- Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34
Pole sana Mkuu nicheki PM kuna mtu ana tiba ya asili itakusaidia na atapona
 
Mkuu nimemtoa hapo nimeenda MNH...maana wamenila gharama hata datar bingwa kuonana nae wanazungusha zungusha mara Leo hayupo ikifika kesho,kesho nae hayupo,aalafu Sasa wao nidrip ya maji, insulini,drip ya panaldo ukiwaambia mgonjwa wangu mbona Bado kichwa kinaumaa saana moyo kuuma mfanyieni vipimo wanakuambia tumefanya Kila kitu kipo sawa..kufika MNH kafanyiwa checkup ya haraka wakabaina anadamu 6.3 hapo hapo wakafanya taratibu za damu aongezewe,wakat huko nlipokua kakaa siku7 wanakwambia damu iko9.8.mpaka asubuh ya Leo wakasema damu Iko sio mbaya..lakini mgonjwa akawa Yuko hoi hawezi tembea Wala kuinama kichwa na moyo vinaumaa balaa hawezi kutembea kuinama
Poleni sana jamani...
Yani hizi hospitali zetu za Tanzania mtu anaweza kupoteza maisha hivi kwa uzembe...
 
diabetic - pia mkuu jitahidi muwe makini katika mambo ya chakula .
Recently nime notice beer ni moja ya vichocheo vikibwa, beer ina large quantity of sugar but husikii ukiinywa

Is why wataalam wana sema mtu diabetic bora akanywa heinken na bia zingine zenye low quantity of sugar
 
Back
Top Bottom