Aiseee Pole Sana, Kwa Ulivyoleta Andiko Lako la Mwanzo kabisa kwamba Alilazwa Sukari Nadhani Ulisema ilikuwa 34 Mbaka Sasa Iko 14 halafu Akila Chakula inakuja 17, kwangu Mimi Ambaye Naumwa Sukari , ikifika 17 kwangu Sio issue, natembea nafanya Shughuli Zote, Ila Nadhani uko kupanda Kwa pressure Nako kushakuwa Tatizo, Ukiwa na Sukari halafu + pressure Ni Mbaya Sana, Mimi Nina Sukari Lakini Pressure Sina, please Fanyeni vipimo vya Maralia, nayo inachangia Matatizo, Mungu Atamfanyia Wepesi Atarudi kwenye Hali yake ya kawaidaNdio Bado anachoma insulin alianza na mixed Sasa hivi walimbadilishia dozi anachoma soluble na genine sijui hakuna dawa yoyote yakumeza anayotumia...pia hatumii dawa yoyote ya presha..namim nimehisi huko kutetemeka nisababu ya presha ila nikimwambia dokta anasema presha inakua juu sababu ya homa joto ilo ...wamechukua damu na mkojo kwenda kupima vitu hivo baadhi ulivyovotaja nimeskia wanasema wanapenda kupima malaria,UTI,electrolyte...napia wameshampima sumu iyo DKA kama Bado ipo wamesema haipo