Mrejesho: Mgonjwa wangu wa sukari anaendelea kuzidiwa

Asante sana kwa ushauri
 
Sijui chochote kuhusu medicine lakini naamini Kuna kitu nyuma ya hiyo sukari. Sio sukari tu hapo unahitaji daktari binwa internal medicine akufanyie diagnosis ya what is the cause of the spike in sugar level. Hapo wanatibu matokeo tu so lazima sukari itaendelea kuwa juu. Kama Kuna mtu anamjua mtaalamu wa Internal medicine then amuelekeze jamaa.
 
Mwenyezi Mungu muweza yote ampe afya Bora mgonjwa

Msiwe na hofu atakuwa sawa
 
Ila Cha ajabu mapigo yake ya moyo Yako juu sana 122 na presha Iko juu Sasa je hapa vip kupewa dawa za presha
Tafuta daktari wa internal medicine atibu tatizo. Organ zake zote zitafeli maana sukari itamaliza hizo figo. Hapo unaenda kwenye renal failure. Tafuta dokta aulizoe historia kamili ya mgonjwa, alikula nini, anatumia dawa gani, damu yake Ina react vipi na vitu mbalimbali. Hapo mnatibu sukari lakini hamribu tatizo.
 
Mkuu pita basi kwanza walikoshauri wenzako uone wamesema nini maana dizain unaandika lugha ngumu na ya kukatisha tamaa sana.
 
Wakati tunamshauri mwenzetu hapa tukumbushane umuhimu wa kufanya mazoezi japo mepesi mepesi ili kupunguza uwezekano wa kukutana na maradhi mbalimbali haya yakiwepo.

Safari za ½saa 3klms tujaribu kusogea kwa miguu mwili utoke jasho in short activities ndogo ndogo tupunguze kutumia njia nyepesi hii itatusaidia sana,tufanye hivi mapema tukiwa na nguvu zetu.
 
Ni muhimu ndio lakini sio matatizo yote ni permanent. Mama yangu alipata kisukari wa sababu ya COVID. Baada ya kupona COVID kisukari kikaisha. Kuna wakati inatakiwa utafute sababu na sio kutibu matokeo. Afrika mara nyingi tunatibu matokeo na sio chanzo!
 
Mkuu pita basi kwanza walikoshauri wenzako uone wamesema nini maana dizain unaandika lugha ngumu na ya kukatisha tamaa sana.
Toka alipoanza kwenye ule Uzi mwingine watu walimdirect kwa doctor wa kisukari. Mara nyingi hapo atatibiwa kisukari badala ya kutibiwa sababu za hiyo sukari kupanda. Sio mara zote sukari inapanda insulin imeshindwa kutengenezwa. I am not a doctor but an internal medicine doctor specialist could help in making the diagnosis and prognosis.
 


Kuna sehemu unaelekea unajua kitu

Unaweza ukawa na pressure na mapigo ya moyo Ila tatizo likawa nimarelia ukiitobu marelia ukawa umetibu pressure na mapigo ya moyo kwenda mbio

Hii huwa inanitokea most of the time
 
Inategemea na instrument wanayotumia, nyingine zinazoma hado 40 mmol/L
 
Kama una mtu ni prediabetic au anaanza tu kuwa diabetic (7.8-13.5), supplements hizi zinasaidia sana kurudisha blood levels kuwa normal kabsa.



 
Mrejesho
Majibu ya vipimo vya mgonjwa wangu wa sukar hapa posta..wakuu toeni mawazo yenu niendelee kubaki Hapa au nikimbilie muhimbili
 

Attachments

  • IMG_20241020_223913.jpg
    1.1 MB · Views: 6
Mkuu nimemtoa hapo nimeenda MNH...maana wamenila gharama hata datar bingwa kuonana nae wanazungusha zungusha mara Leo hayupo ikifika kesho,kesho nae hayupo,aalafu Sasa wao nidrip ya maji, insulini,drip ya panaldo ukiwaambia mgonjwa wangu mbona Bado kichwa kinaumaa saana moyo kuuma mfanyieni vipimo wanakuambia tumefanya Kila kitu kipo sawa..kufika MNH kafanyiwa checkup ya haraka wakabaina anadamu 6.3 hapo hapo wakafanya taratibu za damu aongezewe,wakat huko nlipokua kakaa siku7 wanakwambia damu iko9.8.mpaka asubuh ya Leo wakasema damu Iko sio mbaya..lakini mgonjwa akawa Yuko hoi hawezi tembea Wala kuinama kichwa na moyo vinaumaa balaa hawezi kutembea kuinama
 
Na wewe bana sasa hapo si unampa hofu...
Hata ww mzima maisha yako yako 50 kwa 50 huna uhakika wa kuishi kama mgonjwa tuu...
 
Pole sana Mkuu nicheki PM kuna mtu ana tiba ya asili itakusaidia na atapona
 
Poleni sana jamani...
Yani hizi hospitali zetu za Tanzania mtu anaweza kupoteza maisha hivi kwa uzembe...
 
diabetic - pia mkuu jitahidi muwe makini katika mambo ya chakula .
Recently nime notice beer ni moja ya vichocheo vikibwa, beer ina large quantity of sugar but husikii ukiinywa

Is why wataalam wana sema mtu diabetic bora akanywa heinken na bia zingine zenye low quantity of sugar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…