Mrejesho: Mgonjwa wangu wa sukari anaendelea kuzidiwa

Aiseee Pole Sana, Kwa Ulivyoleta Andiko Lako la Mwanzo kabisa kwamba Alilazwa Sukari Nadhani Ulisema ilikuwa 34 Mbaka Sasa Iko 14 halafu Akila Chakula inakuja 17, kwangu Mimi Ambaye Naumwa Sukari , ikifika 17 kwangu Sio issue, natembea nafanya Shughuli Zote, Ila Nadhani uko kupanda Kwa pressure Nako kushakuwa Tatizo, Ukiwa na Sukari halafu + pressure Ni Mbaya Sana, Mimi Nina Sukari Lakini Pressure Sina, please Fanyeni vipimo vya Maralia, nayo inachangia Matatizo, Mungu Atamfanyia Wepesi Atarudi kwenye Hali yake ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…