Kwahiyo unapatana na wanawake wa wapi mkuu?Wanawake bana akishapata mtu pembeni anaanza visingizio mara nataka kuwa peke angu, mara sijui nini ndio mfano wa hio sababu alizotoa😂😂🚮.
Hapa mim na wanawake na ndoa huwa hatupatani kabisa.
Hata sielewiKwahiyo unapatana na wanawake wa wapi mkuu?
Niliwahi kununia na babe mama wanguKwahiyo unapatana na wanawake wa wapi mkuu?
Hapana sio hivyo huyo tayari ana childhood trauma! Na trauma za utotoni zina-follow mpaka ukubwani, hizo attachment issues ndizo tatizo na zinamtokea mtu yoyote! Ndiomaana kuna watu hawawezi kuanzisha mahusiano na mtu mwenye hii shida unakuta anajihisi kuwa isolated muda wote, anazira zira tu au anajitenga! Kwahiyo anakuwa ni wa aina hiyo (avoidant &anxious)anahitaji mwenza mwenye uelewa sana! Ukitumia hisia kwenye ndoa utakwama!Hata sielewi
We mwenyewe si umeona hapo
Mwanamke ni unpredictable, hisia zinakompeleka ndio akili inahamia huko.😂😂😂
Kila shetani na mbuyu wake! Ukijua kuishi na viumbe hivi hutopata shida nakwambia! We want security from u guys! Love n care sio vitu vya kukushindwa kutimiza kwa mwanamke wako!Niliwahi kununia na babe mama wangu
Wiki 1 Na masiku anajihu short, hana story na mimi, kuja kuniambia sababu eti simuulizi kuhusu siku zake za hedhi, kwahyo simjali😂😂 nilichoka
Majukumu yanachanganya akiliKila shetani na mbuyu wake! Ukijua kuishi na viumbe hivi hutopata shida nakwambia! We want security from u guys! Love n care sio vitu vya kukushinda kutimiza kwa mwanamke wako!
Mkuu hebu jitahidi u-focus na majukumu yako ya kila siku na upuuze huo Ujinga anaoleta huyo mshenzi.nilichokifanya...niliamua kwenda Barabarani nikachukua begi lake...baada ya kukaa kwa Muda niliamua niende naye NYUMBANI kwetu kwa Wazazi wangu
Wacha ujinga wewe. Usiendekeze uzembe hapa. Huyo alikuwa anaishi na mwanaume, na wewe unampkea kipimbi.MREJESHO
Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI..
..
...
Leo nawaletea MREJESHO...
Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa alikaa karibia week Moja..Bila Mme ,Wazazi,hata Ndugu kujua alipo...
Baada ya kukaa kwa siku zote zote hizo ,,,ghafla nilipigiwa na Simu namba nisiyoijua kuwa ananitaarifu kuwa kuwa amesikia namtafuta, KUPITIA kwa màrafiki zake,Hadi anasikia mpaka nimeenda police ,,, kwahiyo akanisihi nisiangaike kumtafutia Yuko salama...basi baada ya kaniambia hivyo niliamua kutulia...japo nilikuwa sijui Yuko wapi...
Siku iliyofuata Mwanamke huyo alianza kuwatafuta ndugu zake wote kuwa Yuko salama...kwa kutumia namba tofauti kwasababu hakuwa na Simu..
Siku nyingine aliongea na Mama ake,,, ambaye ni Mama mkwe wangu,,,, ambaye alimsihi aende kumuona kwamba anaumwa sana...baada ya kuambiwa hivyo...baada ya siku nyingine alikuja NYUMBANI kwangu ghafla wakati mimi natoka Bafuni kuoga nilimkuta ndani akiwa anajiandaa kama mtu ambaye ana haraka ya kuondoka....nilipoingia ndani tulisalimiana...baada ya hapo akaniambia kwamba amekuja kuniaga kwamba anaenda kumuona Mama ake amemwambia anaumwa sana...baada ya kaniambia hivyo nilimuuliza Begi lake liko wapi,,, akaniambia analo Bodaboda huko Barabarani...nilichokifanya...niliamua kwenda Barabarani nikachukua begi lake...baada ya kukaa kwa Muda niliamua niende naye NYUMBANI kwetu kwa Wazazi wangu,,,
Wazazi walimuuliza Nini shida iliyomfanya kuondoka...na Alikuwa wapi siku zote?
Alichojibu alisema: Kwamba Baba na Mama walitengana,,Baba yake akaoa Mwanamke,,,, wakaishi maisha tabu utotoni kila mtoto aliisha maisha yalikosa uangalizi wa Wazazi,,, kwahiyo aliamua kuondoka kwenye Ndoa alihisi Matatizo hayo yangemtokea hata yeye...Kama Wazazi wake ilivyotokea...ana hofu hiyo..
Pia... alisema siku zote alizopotea alikuwa kwa RAFIKI yake mmoja,,,alikuwa amemhifadhi...
Huko alikuwa anafanya vibarua vya hapa na pale
Ana miaka mingapi mke wako nduguMREJESHO

Trauma bado inam-haunt ile ile, na ndiyo maana anatoka kwenye ndoa bila sababu ya msingi, inaonekana huu ni mwendelezo na sio jambo jipya kumtokea! Unsolved trauma inaendelea kumuandama msaidieni!
Mambo ya wazungu ya trauma yametua na Bongo.Trauma wapi mama la mama
Mke alienda kukazwa nje kaamua kutafuta gia ya kurudi kwa visababu visivyo na kichwa wala mguu
Na mleta mada inaonekana kama kaamini mke