Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

Kama sijakosea huo uzi ulikuwa wa tarehe 15 feb

Kuna vitu nilikushauri

Na umepata pa kuanzia maana umegundua tatzo

Kama huyo ni mchepuko basi wasikilize watu, lakini kama ni mkeo basi tuliza akili, pigania ndoa yako isimame imara

Usimruhusu shetani avuruge baraka zako za ndoa
 
Siwezi kuendeshwa na akili ndogo km za mleta uzi lazima nitafanya maamuzi magumu..!! 😹😹😹
Tatizo lako ni kuweka kazi mbele ya maisha mengine, unawaza pesa tu hadi unaona kuvua hicho kibikini ni kumfaidisha mwanaume, kumbe ni hitaji lako la msingi.

Halafu ujue, siku zote utabaki chini ya kidume, hata kiwe fukara 🤣🤣
 
Kama sababu aliyosema ni hiyo, na wewe umekubali kumpokea, basi tarajia kupigwa tukio lingine kubwa zaidi.

Mkeo anajua bila yeye, wewe huwezi kitu ndio maana anaweza kuingia na kutoka atakavyo.

Kama ni trauma, kwa nini hakukimbilia kwa ndugu zake au kwa ndugu zako? Ila akaamua kwenda kwa rafiki??(red frag)

Kwa nini siku aliyoondoka asingekutaarifu, akasubiri wiki imepita ndio anakwambia eti NASIKIA kwa marafiki wanitafuta(maana yake asingesikia, asingekucheki yamkini anajua ameacha mume nyumbani)

Aliporudi, hakua na lengo la kuja nyumbani, alitaka kuchukua vitu aondoke ila kwa sababu umependa ukaamua kumlazimisha abaki kwa kumpeleka kwa wazazi(time ikifika ataondoka)

Huyo kiumbe atakutafutia kosa ili aondoke na uonekane wewe ndio umekosea.

Yaani mke umemtolea mahali, unajulikana ukoo mzima wa kwao na yeye anajulikana kwenu, aondoke wiki nzima bila taarifa, arudi kisha umpokee simpo simpo???

Najua usiku baada ya kusuluhishwa ulitomba, nikwambie tu huyo mtoto atakaezaliwa ni 50/50
 
Tiba ni mume kumpa kibarua au mtaji aanzishe genge au kitu cha kufanya. Mbona hata uzi uliopita ulionyesha kabisa. Na si jambo la ajabu hilo.
Alinambia anataka kijikazi Cha kumuweka busy...asikae ndani tu,,,kuangalia Tv asubuhi mpaka Jioni,,, maana anasema akikaa ndani tu anaboreka na anaumia akiwaona wanawake wengine wanajishughulisha...

Akikaa tu ndani mawazo ya kutoka kutafuta kazi yanamjia
 
Back
Top Bottom