Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

Mambo ya wazungu ya trauma yametua na Bongo.

Mtu ukulie vingunguti au tandale kwa tumbo uswahilini badae uje useme una trauma au mtoto wa kiume mbele za watu useme una trauma, Hell NO.

Mke ana uhuni tu
 
Shughuli anaweza akawa anaijua ama hata kama haijui...ukishaolewa si inakuwa umekubaliana na hali zote za mume?
Hmm hapana ni kujikaza tu wanawake wengi wavumilivu! Wengine huchepuka😃
 
Mkuu hebu jitahidi u-focus na majukumu yako ya kila siku na upuuze huo Ujinga anaoleta huyo mshenzi.

Hilo unalotaka kulianzisha (usuluhishi) litakuchukulia muda wako na hakuna faida yoyote utapata.

Be a Man, Stay Taliban. You are not that special.
Huyo unapoteza muda kushauri, ni mwanaume kutuko
 
Tatizo lako ni kuweka kazi mbele ya maisha mengine, unawaza pesa tu hadi unaona kuvua hicho kibikini ni kumfaidisha mwanaume, kumbe ni hitaji lako la msingi.

Halafu ujue, siku zote utabaki chini ya kidume, hata kiwe fukara 🤣🤣
Maokoto muhimu wewe babu 😹😹

Mi sipendi kuwa chini, hata kwenye game lazima niforce nipige women on top…
 
Maokoto muhimu wewe babu 😹😹

Mi sipendi kuwa chini, hata kwenye game lazima niforce nipige women on top…
Unajua kuyakata mauno au unajikalia juu tu🤣🤣
 
Machozi kuyaamini sio tatizo, mwanamke anaweza kulia kwa kufiwa kwann usimuamini kama kweli ana uchungu??

Shida huyo wa kiumeni mwenzenu kakolea kwa mkewe na hana sauti..!!
Mwendo kaumaliza, dalili mbaya sana hizo
 
Back
Top Bottom