Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

MREJESHO

Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI..
..
...
Leo nawaletea MREJESHO...

Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa alikaa karibia week Moja..Bila Mme ,Wazazi,hata Ndugu kujua alipo...

Baada ya kukaa kwa siku zote zote hizo ,,,ghafla nilipigiwa na Simu namba nisiyoijua kuwa ananitaarifu kuwa kuwa amesikia namtafuta, KUPITIA kwa màrafiki zake,Hadi anasikia mpaka nimeenda police ,,, kwahiyo akanisihi nisiangaike kumtafutia Yuko salama...basi baada ya kaniambia hivyo niliamua kutulia...japo nilikuwa sijui Yuko wapi...

Siku iliyofuata Mwanamke huyo alianza kuwatafuta ndugu zake wote kuwa Yuko salama...kwa kutumia namba tofauti kwasababu hakuwa na Simu..

Siku nyingine aliongea na Mama ake,,, ambaye ni Mama mkwe wangu,,,, ambaye alimsihi aende kumuona kwamba anaumwa sana...baada ya kuambiwa hivyo...baada ya siku nyingine alikuja NYUMBANI kwangu ghafla wakati mimi natoka Bafuni kuoga nilimkuta ndani akiwa anajiandaa kama mtu ambaye ana haraka ya kuondoka....nilipoingia ndani tulisalimiana...baada ya hapo akaniambia kwamba amekuja kuniaga kwamba anaenda kumuona Mama ake amemwambia anaumwa sana...baada ya kaniambia hivyo nilimuuliza Begi lake liko wapi,,, akaniambia analo Bodaboda huko Barabarani...nilichokifanya...niliamua kwenda Barabarani nikachukua begi lake...baada ya kukaa kwa Muda niliamua niende naye NYUMBANI kwetu kwa Wazazi wangu,,,

Wazazi walimuuliza Nini shida iliyomfanya kuondoka...na Alikuwa wapi siku zote?

Alichojibu alisema: Kwamba Baba na Mama walitengana,,Baba yake akaoa Mwanamke,,,, wakaishi maisha tabu utotoni kila mtoto aliisha maisha yalikosa uangalizi wa Wazazi,,, kwahiyo aliamua kuondoka kwenye Ndoa alihisi Matatizo hayo yangemtokea hata yeye...Kama Wazazi wake ilivyotokea...ana hofu hiyo..

Kwahiyo alimua kuondoka kutafuta kazi...maana anahisi ataachwa...baadae aangaike

Pia... alisema siku zote alizopotea alikuwa kwa RAFIKI yake mmoja,,,alikuwa amemhifadhi...
Huko alikuwa anafanya vibarua vya hapa na pale,,,huku akitafuta kazi ya kufanya

Soma Pia: Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi
Mkuu unataka mpaka akiuambie kuwa ana mwanaume mwingine ila huyo mwanaume bado hana uhakika naye ndo maana anashindwa kukupiga chini moja kwa moja
 
Alinambia anataka kijikazi Cha kumuweka busy...asikae ndani tu,,,kuangalia Tv asubuhi mpaka Jioni,,, maana anasema akikaa ndani tu anaboreka na anaumia akiwaona wanawake wengine wanajishughulisha...

Akikaa tu ndani mawazo ya kutoka kutafuta kazi yanamjia
Huyo mke mpe kazi, ni suala la kawaida kabisa mwanamke kufanya kazi karne hii. Sijaona popote kwenye uzi huu au uliopita unasema amekusaliti.
 
Tiba ni mume kumpa kibarua au mtaji aanzishe genge au kitu cha kufanya. Mbona hata uzi uliopita ulionyesha kabisa. Na si jambo la ajabu hilo.
Trauma inamkuba yoyote unaweza kuwepo nayo na usijue ata akimpa mtaji bado tu hali ikirejea tu ataona anabadilika ndomana ili kuingia kwenye mahusiano na mtu wa namna hii unatakiwa kua muelewa zaidi na mvumilivu
 
Mbona story haijakamilika kwa hiyo baada ya hapo Nini kiliendelea? Je walirudi wote nyumbani kuendelea na maisha au jamaa alimuacha asepe lakini pia jamaa nae inaonekana finecially hayuko sawa ni pangu pakavu tu Tena inawezekana mwanamke ndo alikua anamuweka mjini
 
UMEIANGALIA PAPUCHI LAKINI ILIVYOTANULIWA..NA UMEMUULIZA MARA NGAPI ALIKUA AANAKUTUKANA AKIFINYWANGWA??
We mda wooote asitoroke aje toroka leo ..wajinga ndo waliwao.CC kwanza huyo jirani yako ukute hata mtoto uliozaa na mkeo ni wake mtafutie sababu umtie hata panga la mgongo ah ah
 
90% ya wanaume wana changamoto na wake zao. Yakikukuta hayo jifanye kama hujui lolote na ufocus na life yako mwishoe atakupgia magoti kama sio makofi. Na usije kumpenda mwanamke 100% no mpende kwa 25% tu ili hata akikuacha hutaadhirika kimawazo ama kisaikokojia. Huyo mimi hafai kuwa mkeo kama unataka mke kweli vuta mwingne aliye na mtoto mmoja na umuweke wazi kuwa hapa ni kulea watoto na akija usibague mtoto wake na yeye atapenda wako automatically msonge na maisha. Na ntazidi kukwambia kuwa the only shimo a man enters himself ni kaburi tu mengne wataingia wengi. Mwanamke unamnunulia gari la mil 20 na hata zaid lakin mtu anamvua chupi kwa kumuekea mafuta ya elf 10 so think twice.
 
Daah wewe jamaa huyo mwanamke amekuroga mbona hauoni kama atakuletea magonjwa tu hapo unapenda nini sana mpaka mtu aondoke zake arudi kama mpo jeshini harafu muendelee na maisha tena shida yako nini..upo na jini hapo
 
Yuko kwa Mama yake...sasa hivi

Hata kipindi tuko safarini. Nampeleka NYUMBANI kwao. kwenye Gari za abilia,,,nilimuona kama analia huku akijifuta machozi...sikuelewa kilichokuwa kinamliza
Muulize anachotaka ila sio haraka akikujibu fuata hiko usijitese muhimu aelewe kilamtu na maishayake maisha ya wazazi wake sio yake wala sio ya wanae
 
Muulize anachotaka ila sio haraka akikujibu fuata hiko usijitese muhimu aelewe kilamtu na maishayake maisha ya wazazi wake sio yake wala sio ya wanae
Sawa...nitamsikiliza anachotaka...nione Mwisho wake nini
 
Kama ambavyo akili inabadilika kupokea jambo jipya, ndivyo akili hubadilika kupokea jambo lingine. Trauma huisha. Huyo alikuwa kwa mwanaume, baada ya kutemwa karejea
 
Sasa utaonaje na walikuwa wote na huyo anayemtumia msg za mashaka..!! 😹😹😹

Mkuu umetombewa yani hilo halipingiki kiongozi..!! 😹
Na ilivyochomoka aliinyonya kwanza ndio akarudishia ndani..

Hiyo alikua kwa rafiki yake kakupiga tobo.
Kwanini asingeenda kwao kama alimaanisha??
Mwamba kuacha hawezi na mwanamke kashajua jamaa hafurukuti ng'ooo
 
Alikua analia kwa kushindwa kumkojoza mpaka kapata kidume wa kumpelekea moto sawasawa…!!

Wewe hujui kumshona unaendekeza usuperhb kwenye kusugua mbususu 😹😹😹
Anayaamini machozi ya mwanamke dah
 
Hakuna cha kumsaidia wewe umegongewa, hapo anayehitaji kusaidiwa ni wewe..!! 😹
Kusikia kwa kenge hadi masikio yatoboke.
Hataki kusikia ukweli kuwa mkewe alienda kugawa utamu.
 
Back
Top Bottom