Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

Mkuu, ndio maana huwa watu wanatumia corporations kulinda mali zao in case wakifa legacy bado itaendelea kuwepo. Ila huku bongo bado kuna mambo ya sole proprietorship that's why tunafeli sana.
 
Watu hawaishi uhalisia. Wana fake life. Baadae ndio wanaonyesha rangi halisi.
Hapo mwanamke kashapata ndoa anaendelea na mipango yake pale alipoishia sasa. Kumiliki kila kitu kwa jina lake. Kazi ya mume ilishaisha ukumbini na kumpa mtoto kwahio hana mpango nae tena anajuta kuolewa nae bora hata angempa mimba tu akamuacha free 🤣🤣🤣
 
Wewe unatengeneza bomu... Si uandike msimamizi wa mirathi mbona kitu simple tuu
 
Hahaha kwahiyo walimtega ila anaweza dai mahakamani walimfanyia hadaa
 
Hawa wanawake wa siku hzi bana tofauti kabisa na mama zetu. Anakuja kwako huku anajihami kikinuka tu nasepa. Huyo mwanamke asiandike jina lake kwenye nyumba mnyooshe ashike adabu yake. Yeye ameolewa hajakuoa tena bila shaka nadhan ni muhaya huyo
Wahaya wanapenda ligi kishenzi hasa kwenye mali 🤣🤣🤣
 
Dah pole sana mkuu, wanawake ni wa kuishi nao kwa akili sana. Usiache atawale maisha yako kwa namna yeyote. Ukilegea tu umeisha.
 
Kwanini yasiandikwe yote mawili ili hata mmoja akitaka kuuza iwe ngumu
 
Kwanini yasiandikwe yote mawili ili hata mmoja akitaka kuuza iwe ngumu
Nyumba ni matrimonial automatically huwezi kuuza bila mke kukubali na mke hawezi kuuza bila mume kukubali.

Ila nyumba mwachie mwanamke hiyo ni yake na watoto wake hata akija kuzalishwa na mtu mwingine, bado watoto wake wote hiyo ni nyumba yao.

Ndiyo maana kijana wa siku hizi unashauriwa kuanzisha LLC na mali zinaenda huko.
 
Mmilikishe yeye na wanae halaf we jenga yako
 
Mbona fresh sana, kila Risiti au kinachoandikwa jina la umiliki andika jina la Mke wako.
 
Mie hapo Naona mmeoana Ile ki English marry inavyotumika kotekote ,she married you and you married her. So no difference Ila ingekuwa kiafrikaafrika nadhani asingedhubutu hata kuongea ama kuandika pia angekuachia wewe angekuheshimu. So hapo Naona Kama thamani ameshakushusha sijui lakini kwa mawazo yangu.
Hapo uanze kujiandaa kuzeeka salama Mana u kijana bado Hilo timbwili subiria after you reach 70+ ndio utaleta mrejesho hapa
 
Sijui lini wanawake wataacha ubinafsi yaani mpaka ndani ya ndoa.

Ndio maana siku hizi JF threads za kataa ndoa zipo nyingi.
 
utaanzia wapi hati ina jina la mama mkwe?
Sasa hv unajua matapeli wanakamatwaje. Si anavideo siku ya harusi na kusema kabisa amewakabidhi nyumba.. Ila inayohaki ya kuvunja nyumba maana kumiliki aridhi sio kumiliki nyumba
 
Sasa hv unajua matapeli wanakamatwaje. Si anavideo siku ya harusi na kusema kabisa amewakabidhi nyumba.. Ila inayohaki ya kuvunja nyumba maana kumiliki aridhi sio kumiliki nyumba
Unaamua yapite maana mwanamke anaweza akawa na wewe sasa unaona bora yapite tu,mtatafuta vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…