Aya mambo ya kipuuz ndo yanatuharibia jamii zetuMfumo dume bado upo na utaendelea kiwepo, kuna nchi tendo ya ndoa mwanamke ndio anaamua akipe au asikupe na ukim force akienda police umekwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya mambo ya kipuuz ndo yanatuharibia jamii zetuMfumo dume bado upo na utaendelea kiwepo, kuna nchi tendo ya ndoa mwanamke ndio anaamua akipe au asikupe na ukim force akienda police umekwisha
Mimi nashauri andikeni majina yenu wote wawili.Sasa nimeongea na mke wangu kuhusu nyumba ambayo nimejenga kwenye kiwanja chake kuhusu umiliki kwasababu yeye alitaka kuandika jina lake tena kwa siri. Nimemuuliza kwanza kwamba tangu tuoane hatujawahi kuongelea kuhusu hicho kiwanja chake.
Akanikumbusha kwamba wakati tunaoana mimi nilimshauri akiuze na ilituletea mtafaruku kweli. Na ni kweli nilisita sana kujenga kwenye kiwanja cha mke wangu kwasababu nilishaona ni mtu mpenda vyake na asiye na muda na vyangu ilihali tayari sisi ni mke na mume.
Na niwarudishe kidogo kilichonifanya nimuone wa tofauti kidogo baada ya kuhamia pale, siku moja mwisho wa mwezi nilienda kuitembelea familia. Asubuhi tukiwa mimi na watoto akaleta mada kwamba Joyce (siyo jina halisi) ambaye yeye ni shangazi kwa Joyce. Joyce ameniomba Jack (siyo jina halisi) yaani mtoto wa Joyce aje aishi hapa na aende shule akikaa kwetu.
Sasa Joyce tuliwahi kukaa naye kama ndugu yake mke wangu, akawa anatusaidia kazi lakini alikuja kuondoka kwa ugomvi na mke wangu. Aliponipa hizo stori akili yangu iliyafanya mrejeo haraka sana nikakumbuka jinsi Joyce alivyoondoka kwa shangazi yake kwa maneno.
Nikamwambia mke hilo kwasasa haitawezekana na sababu niliyompa ni kwamba mtoto wetu kwasasa anasoma 'English Medium' halafu huyu Jack akija aende shule ya kawaida (serikali) mimi sitajisikia vizuri na haitakuwa sawa hata kwa tafsiri za watu wengi.
Nikamshauri kwamba, kama ni kwa ajili ya kwenda shule basi aende kwa shemeji (kaka yake mke) ambaye kimsingi yupo karibu na shule hiyo ya serikali na ni baba mdogo wake Joyce. Mke wangu alikuja juu sana na kuzua ugomvi kidogo nimpige.
Lakini maneno yaliyonikera sana ni kwamba, mimi siwataki ndugu zake na huwa nakuja hapa kuleta vurugu na kwamba anajuta kuolewa na mimi na akakimbilia nje. Baadaye nilimuita, akaja tukaongea, nikaamua kutulia ili nione maisha yanaendaje baada ya pale.
Na hapa wiki moja kabla alinijulisha swala la kuwekewa 'bcone' kwenye like eneo, kwamba inahitahijika 100,000 akanipa na ukomo wa muda, sikutaka maneno nikampa ile hela akalipa. Niliporudi akanionesha risiti, nikamwambia wafuatilie waweke.
Wiki inayofuata akanitaarifu kwamba wameshaweka 'bcone' lakini wanahitaji paspoti saba kwa maandalizi ya hati nikamwambia sawa. Nilipoenda nikamwambia ebu nenda idara ya maji ukaulizie utaratibu wa kupata maji kwa bomba binafsi, yaani kufungiwa mita ya maji kwenye hiyo nyumba.
Alienda baadaye akaniambia wanahitaji tujaze fomu na paspoti mbili, na fomu hurusiwi kuchukua unajazia kule idara ya maji, nikamwambia sawa. Jioni akaniambia kesho nataka nikapige zile picha ajaze hizo fomu na kupeleka zile picha saba kwa ajili ya hati, mimi nikaitikia sawa.
Asubuhi kulipokucha nikamwambia simamisha hilo zoezi hadi nije. Lakini nilimpigia simu jamaa yangu ambaye naye amejaza hiyo fomu, nikamuulizi hivi hizi fomu hurusiwi kutokana nazo ukajazie nyumbani? Jamaa akasema mbona mimi nilijazie nyumbani nikarudisha?!
Nikamwambia sawa, mimi nilikuwa naendelea kukusanya taarifa zangu. Jana nikafanya ziara ya kustukiza, nikafika nyumba lakini nikiwa njiani niliandika ujumbe kumjulia hali yeye na watoto nikamwambia nipo njiani nakuja huko.
Basi nikafika yeye alikuwa ametoka na watoto, nikafungua nikaingia nikampigia akasema anakuja na kweli wakawasili na watoto, watoto wangu wananipenda sana wakafurahi stori mbili tatu.
Mimi sikutaka kikao kichukue muda, nikaanza kikao na yeye nikamwambia mimi nimekuja kwa mazungumzo na wewe, akastuka sana. Nikamwambia mazungumzo ni ya kawaida ya kifamilia. Tukaongea nikamwambia hiki kiwanja si unajua ni chako, akasema ndiyo.
Nikamwambia lakini bahati nzuri tumejaliwa kujenga nyumba ya familia, akasema ndiyo. Nikamwambia kuna vitu tusipoviweka sawa huko mbeleni vitatuletea shida, akashangaa. Nikamwambia kwasasa tunaelekea kwenye swala la umiliki sasa tuamue mimi na wewe mmliki wa nyumba ya familia yetu kwenye kiwanja chako kitakuwa na umiliki wa nani? Hana jibu!
Nikamuuliza je maji na hilo suala la picha za hati mmiliki ungeandika? Akasema mimi nilijua ni vitu vya kawaida wala sikufikiria yote hayo! Nikamuuliza kwa mkuu wa familia ni nani akasema ni wewe (mimi). Nikamuuliza sasa mbona siku ile ulifanya tu kunipa taarifa tu unataka kwenda kupiga picha bila kuuliza tuandike jina la nani? Akasema mimi niliona hata nikiandika jina langu ni sawa tu na kwasababu nilikupa taarifa niliona hakuna shida.
Nikamwambia sasa mimi natambua kwamba kiwanja ni chako lakini nimejenga nyumba ya familia yangu ambayo ni sisi sote. Nimekuja tupate mwafaka wa hicho kiwanja na mimi nipo kwa ajili kuidhamini familia yangu na katika hii familia tunaojielewa kwasasa ni mimi na wewe vijana wetu bado wadogo.
Nikamwambia mimi nina majibu yangu lakini nahitaji majibu yako juu ya kiwanja hiki. Nikamkumbusha, kwamba siku ile ulivyoongea maneno ya kwamba mimi huwa nakuja kukuletea vurugu na kwamba unajuta kuolewa na mimi nilizingatia na hivyo sitakubaki kuiweka rehani familia kwa kuruhusu mambo yaende kiholela.
Akahamaki na kudai kwanini namkumbusha mambo ya zamani, nikamwambia haikuwa sehemu ya mada lakini nimeona nikukumbushe ili ujirekebishe kimawazo, kauli na kimtazamo na ufahamu mipaka yake kama mke. Akasema yale alitamka kwa hasira kwasababu ulinikemea mbele ya watoto n.k, nikamwambia mimi uliniletea mada yako mbele ya watoto na nilipopinga wewe ndiyo ukaleta ugomvi.
Akasema tuyamalize kwanza haya ndiyo tuje swala la umiliki wa nyumba. Ila nikamwambia mimi siwezi tena kukuruhusu kumiliki hii nyumba kwasababu hustahili, utashindwa kuzuia hisia zako na utaendelea kuropoka zaidi na huenda hata kuna siku utamleta mwanaume humu na sitaweza kuzuia. Naye akasema na wewe unaweza kumleta mwanamke halafu unitoe mimi.
Mwisho akasema nimpe muda atafakari swala la umiliki wa hii nyumba halafu atanipa jibu kwamba hawezi kupata jibu la haraka. Lakini nimemwambia mimi ndiye nina wajibu na jukumu la kulinda, kuhifadhi na kutunza mali za familia hivyo yeye ni mtu wa pili kutoka kwangu na akaona ugumu nipo tayari kumpa pesa yenye thamani ya kiwanja chake, yeye atajua atazifanyaje hizo hela lakini kiwanja kiwe chini ya familia na chini yangu kama mwenyewe dhamana ya familia namba moja.
Kwa hiyo namsubiri aamue halafu nami nitaweka msimamo wa kiti. Japo sasa amenuna lakini mgonjwa haulizwi dawa. Mimi kiukweli sina mpango B ya hilo, nahitaji heshima iwepo kwangu kama mwenye nyumba na siwezi kuwa mtalii kwenye familia yangu. Lazima kiti kiheshimiwe bila hivyo panya watatawala.
Naomba kuwasilisha kwa ajili yenu kujifunza na kutoa ushauri.
Asanteni.
Pia soma: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga
Sure!! Kuna jamaa alimfuma mwanamke na mwanaume ndani. Akaanza kumfokea yaani wewe unafanya ufuska ndani ya nyumba yangu.... Mwanamke akamuuliza una nyumba wewe?? Ugomvi mpk Serikali ya mtaa. Mwanamke akatoa vielelezo jamaa kaja kumsumbua kwake kwakua amezaa nae anataka ahamie kwakw. Kiukweli jamaa ndo aliyetoa pesa za kununua kiwanja na ujenzi ila alikua anamtuma mwanamke asimamie.Unampa mamlaka mwanamke!?, Akikupiga tukio, baadae utaleta Uzi huku tukusaidie [emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani kumuandikisha mwanamke umiliki wa Nyumba, especially unayoishi wewe mwanaume na watoto wako, ni sawa na Kumsomesha mwanamke kwa kutegemea kumuoa, Lolote linaweza kutokea na ukabaki mdomo wazi.
Kua uyaone.Kivipi? Uongo tu
Aisee pole sana (ingawa hii mada sijaiona kwa wakati muafaka ila lazima nichangie kidogo pia ili wadau wengine wapate uzoefu kwa yanayotukuta sisi wanaume.Sasa nimeongea na mke wangu kuhusu nyumba ambayo nimejenga kwenye kiwanja chake kuhusu umiliki kwasababu yeye alitaka kuandika jina lake tena kwa siri. Nimemuuliza kwanza kwamba tangu tuoane hatujawahi kuongelea kuhusu hicho kiwanja chake.
Akanikumbusha kwamba wakati tunaoana mimi nilimshauri akiuze na ilituletea mtafaruku kweli. Na ni kweli nilisita sana kujenga kwenye kiwanja cha mke wangu kwasababu nilishaona ni mtu mpenda vyake na asiye na muda na vyangu ilihali tayari sisi ni mke na mume.
Na niwarudishe kidogo kilichonifanya nimuone wa tofauti kidogo baada ya kuhamia pale, siku moja mwisho wa mwezi nilienda kuitembelea familia. Asubuhi tukiwa mimi na watoto akaleta mada kwamba Joyce (siyo jina halisi) ambaye yeye ni shangazi kwa Joyce. Joyce ameniomba Jack (siyo jina halisi) yaani mtoto wa Joyce aje aishi hapa na aende shule akikaa kwetu.
Sasa Joyce tuliwahi kukaa naye kama ndugu yake mke wangu, akawa anatusaidia kazi lakini alikuja kuondoka kwa ugomvi na mke wangu. Aliponipa hizo stori akili yangu iliyafanya mrejeo haraka sana nikakumbuka jinsi Joyce alivyoondoka kwa shangazi yake kwa maneno.
Nikamwambia mke hilo kwasasa haitawezekana na sababu niliyompa ni kwamba mtoto wetu kwasasa anasoma 'English Medium' halafu huyu Jack akija aende shule ya kawaida (serikali) mimi sitajisikia vizuri na haitakuwa sawa hata kwa tafsiri za watu wengi.
Nikamshauri kwamba, kama ni kwa ajili ya kwenda shule basi aende kwa shemeji (kaka yake mke) ambaye kimsingi yupo karibu na shule hiyo ya serikali na ni baba mdogo wake Joyce. Mke wangu alikuja juu sana na kuzua ugomvi kidogo nimpige.
Lakini maneno yaliyonikera sana ni kwamba, mimi siwataki ndugu zake na huwa nakuja hapa kuleta vurugu na kwamba anajuta kuolewa na mimi na akakimbilia nje. Baadaye nilimuita, akaja tukaongea, nikaamua kutulia ili nione maisha yanaendaje baada ya pale.
Na hapa wiki moja kabla alinijulisha swala la kuwekewa 'bcone' kwenye like eneo, kwamba inahitahijika 100,000 akanipa na ukomo wa muda, sikutaka maneno nikampa ile hela akalipa. Niliporudi akanionesha risiti, nikamwambia wafuatilie waweke.
Wiki inayofuata akanitaarifu kwamba wameshaweka 'bcone' lakini wanahitaji paspoti saba kwa maandalizi ya hati nikamwambia sawa. Nilipoenda nikamwambia ebu nenda idara ya maji ukaulizie utaratibu wa kupata maji kwa bomba binafsi, yaani kufungiwa mita ya maji kwenye hiyo nyumba.
Alienda baadaye akaniambia wanahitaji tujaze fomu na paspoti mbili, na fomu hurusiwi kuchukua unajazia kule idara ya maji, nikamwambia sawa. Jioni akaniambia kesho nataka nikapige zile picha ajaze hizo fomu na kupeleka zile picha saba kwa ajili ya hati, mimi nikaitikia sawa.
Asubuhi kulipokucha nikamwambia simamisha hilo zoezi hadi nije. Lakini nilimpigia simu jamaa yangu ambaye naye amejaza hiyo fomu, nikamuulizi hivi hizi fomu hurusiwi kutokana nazo ukajazie nyumbani? Jamaa akasema mbona mimi nilijazie nyumbani nikarudisha?!
Nikamwambia sawa, mimi nilikuwa naendelea kukusanya taarifa zangu. Jana nikafanya ziara ya kustukiza, nikafika nyumba lakini nikiwa njiani niliandika ujumbe kumjulia hali yeye na watoto nikamwambia nipo njiani nakuja huko.
Basi nikafika yeye alikuwa ametoka na watoto, nikafungua nikaingia nikampigia akasema anakuja na kweli wakawasili na watoto, watoto wangu wananipenda sana wakafurahi stori mbili tatu.
Mimi sikutaka kikao kichukue muda, nikaanza kikao na yeye nikamwambia mimi nimekuja kwa mazungumzo na wewe, akastuka sana. Nikamwambia mazungumzo ni ya kawaida ya kifamilia. Tukaongea nikamwambia hiki kiwanja si unajua ni chako, akasema ndiyo.
Nikamwambia lakini bahati nzuri tumejaliwa kujenga nyumba ya familia, akasema ndiyo. Nikamwambia kuna vitu tusipoviweka sawa huko mbeleni vitatuletea shida, akashangaa. Nikamwambia kwasasa tunaelekea kwenye swala la umiliki sasa tuamue mimi na wewe mmliki wa nyumba ya familia yetu kwenye kiwanja chako kitakuwa na umiliki wa nani? Hana jibu!
Nikamuuliza je maji na hilo suala la picha za hati mmiliki ungeandika? Akasema mimi nilijua ni vitu vya kawaida wala sikufikiria yote hayo! Nikamuuliza kwa mkuu wa familia ni nani akasema ni wewe (mimi). Nikamuuliza sasa mbona siku ile ulifanya tu kunipa taarifa tu unataka kwenda kupiga picha bila kuuliza tuandike jina la nani? Akasema mimi niliona hata nikiandika jina langu ni sawa tu na kwasababu nilikupa taarifa niliona hakuna shida.
Nikamwambia sasa mimi natambua kwamba kiwanja ni chako lakini nimejenga nyumba ya familia yangu ambayo ni sisi sote. Nimekuja tupate mwafaka wa hicho kiwanja na mimi nipo kwa ajili kuidhamini familia yangu na katika hii familia tunaojielewa kwasasa ni mimi na wewe vijana wetu bado wadogo.
Nikamwambia mimi nina majibu yangu lakini nahitaji majibu yako juu ya kiwanja hiki. Nikamkumbusha, kwamba siku ile ulivyoongea maneno ya kwamba mimi huwa nakuja kukuletea vurugu na kwamba unajuta kuolewa na mimi nilizingatia na hivyo sitakubaki kuiweka rehani familia kwa kuruhusu mambo yaende kiholela.
Akahamaki na kudai kwanini namkumbusha mambo ya zamani, nikamwambia haikuwa sehemu ya mada lakini nimeona nikukumbushe ili ujirekebishe kimawazo, kauli na kimtazamo na ufahamu mipaka yake kama mke. Akasema yale alitamka kwa hasira kwasababu ulinikemea mbele ya watoto n.k, nikamwambia mimi uliniletea mada yako mbele ya watoto na nilipopinga wewe ndiyo ukaleta ugomvi.
Akasema tuyamalize kwanza haya ndiyo tuje swala la umiliki wa nyumba. Ila nikamwambia mimi siwezi tena kukuruhusu kumiliki hii nyumba kwasababu hustahili, utashindwa kuzuia hisia zako na utaendelea kuropoka zaidi na huenda hata kuna siku utamleta mwanaume humu na sitaweza kuzuia. Naye akasema na wewe unaweza kumleta mwanamke halafu unitoe mimi.
Mwisho akasema nimpe muda atafakari swala la umiliki wa hii nyumba halafu atanipa jibu kwamba hawezi kupata jibu la haraka. Lakini nimemwambia mimi ndiye nina wajibu na jukumu la kulinda, kuhifadhi na kutunza mali za familia hivyo yeye ni mtu wa pili kutoka kwangu na akaona ugumu nipo tayari kumpa pesa yenye thamani ya kiwanja chake, yeye atajua atazifanyaje hizo hela lakini kiwanja kiwe chini ya familia na chini yangu kama mwenyewe dhamana ya familia namba moja.
Kwa hiyo namsubiri aamue halafu nami nitaweka msimamo wa kiti. Japo sasa amenuna lakini mgonjwa haulizwi dawa. Mimi kiukweli sina mpango B ya hilo, nahitaji heshima iwepo kwangu kama mwenye nyumba na siwezi kuwa mtalii kwenye familia yangu. Lazima kiti kiheshimiwe bila hivyo panya watatawala.
Naomba kuwasilisha kwa ajili yenu kujifunza na kutoa ushauri.
Asanteni.
Pia soma: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga
Pole sana mkuu.Aisee pole sana (ingawa hii mada sijaiona kwa wakati muafaka ila lazima nichangie kidogo pia ili wadau wengine wapate uzoefu kwa yanayotukuta sisi wanaume.
Kwanza kwa ushauri kuhusu mgogoro wenu aisee naomba ukomae NA msimamo wako.Mimi nilioa mwaka 1999 mke ambaye alikuwa NA mtoto wake wa kiume.
Yeye alikuwa anafanya biashara NA Mimi ni mtumishi.Kwa vile tulikuwa hatukai sehemu moja Siku moja week end nilikuja nyumbani tulipokuwa tumepangisha nakumbuka ulikuwa mwaka 2010! Akaniambia mume wangu nimesikia kuna kiwanja kinauzwa naomba twende tukakiangalie basi tukafuatana nikakiona NA nikaridhika nacho ila nikamuambia kwa sasa sina fedha akadai anayo akiba kdg tukinunue nikaridhia lakini nikamwambia usije ukaniletea matatizo baadae! Akasema hakutakuwa na shida yoyote BASI tukatafuta mashahidi tukaweka utaratibu tukakinunua kwa fedha yake.
Tulianza ujenzi kwa kishirikiana akipata fedha inatumika kwenye ujenzi NA Mimi Hali kadhalika.
NYUMBA iliisha tukaweka umeme tukahamia.Siku za baadae kidogo nakumbuka tulikuwa uani tunawapa chanjo kuku akanitamkia ya kuwa Nioe nimuache pale NA watoto wake (Yaani wawili
tuliozaa pamoja NA yule wakufikia) Nilistaajabu nikamwambia umri huu!
Siku zilizofuata nilishtuka nikanunua kiwanja kwa fedha yangu nikakiacha kilikuwa NA msingi wa vyumba vitatu !
Watoto walipokua NA kuajiriwa mke akaanza ujeuri NA nahisi aliwa feed watoto kuwa NYUMBA ni yake. Siku moja nilipokuwa nakagua nyaraka mbali mbali nikagundua ameiba hati ya kiwanja NA kuihamisha.....Nilichukia nikaanza ujenzi kwenye kiwanja changu mwaka 2021 January! Ile NYUMBA imeisha kiasi nimeweka umeme NA kuondoka pale nyumbani. Hakuridhika ila niliona niache ile NYUMBA tusije mwisho tukauana bure!
MY TAKE Wanawake sio wakuamini sana nakushauri uweke msimamo wa kutumia jina lako kwenye hicho kiwanja kwa kuwa dalili zinaonesha uzeeni utanyang'anywa hiyo NYUMBA.Au kama unaweza iache ilivyo utafute kiwanja ujenge nyingine hata kama ndogo Heshima itarudi!
Hizo ndo changamoto za wanaume! Uwe huna hela sasa au umezeeka sana utatamani ufe!!Pole sana mkuu.
Sakata lako linafanana na la kwangu. Hapa naanza kudunduliza nikatafute sehemu yangu nitoke hapa nimwachie nyumba yake. Maana nishadhalilishwa hapa ninapoishi sema navumilia kwa sababu nipo kwenye mchakato wa kutafuta hela niondoke.Aisee pole sana (ingawa hii mada sijaiona kwa wakati muafaka ila lazima nichangie kidogo pia ili wadau wengine wapate uzoefu kwa yanayotukuta sisi wanaume.
Kwanza kwa ushauri kuhusu mgogoro wenu aisee naomba ukomae NA msimamo wako.Mimi nilioa mwaka 1999 mke ambaye alikuwa NA mtoto wake wa kiume.
Yeye alikuwa anafanya biashara NA Mimi ni mtumishi.Kwa vile tulikuwa hatukai sehemu moja Siku moja week end nilikuja nyumbani tulipokuwa tumepangisha nakumbuka ulikuwa mwaka 2010! Akaniambia mume wangu nimesikia kuna kiwanja kinauzwa naomba twende tukakiangalie basi tukafuatana nikakiona NA nikaridhika nacho ila nikamuambia kwa sasa sina fedha akadai anayo akiba kdg tukinunue nikaridhia lakini nikamwambia usije ukaniletea matatizo baadae! Akasema hakutakuwa na shida yoyote BASI tukatafuta mashahidi tukaweka utaratibu tukakinunua kwa fedha yake.
Tulianza ujenzi kwa kishirikiana akipata fedha inatumika kwenye ujenzi NA Mimi Hali kadhalika.
NYUMBA iliisha tukaweka umeme tukahamia.Siku za baadae kidogo nakumbuka tulikuwa uani tunawapa chanjo kuku akanitamkia ya kuwa Nioe nimuache pale NA watoto wake (Yaani wawili
tuliozaa pamoja NA yule wakufikia) Nilistaajabu nikamwambia umri huu!
Siku zilizofuata nilishtuka nikanunua kiwanja kwa fedha yangu nikakiacha kilikuwa NA msingi wa vyumba vitatu !
Watoto walipokua NA kuajiriwa mke akaanza ujeuri NA nahisi aliwa feed watoto kuwa NYUMBA ni yake. Siku moja nilipokuwa nakagua nyaraka mbali mbali nikagundua ameiba hati ya kiwanja NA kuihamisha.....Nilichukia nikaanza ujenzi kwenye kiwanja changu mwaka 2021 January! Ile NYUMBA imeisha kiasi nimeweka umeme NA kuondoka pale nyumbani. Hakuridhika ila niliona niache ile NYUMBA tusije mwisho tukauana bure!
MY TAKE Wanawake sio wakuamini sana nakushauri uweke msimamo wa kutumia jina lako kwenye hicho kiwanja kwa kuwa dalili zinaonesha uzeeni utanyang'anywa hiyo NYUMBA.Au kama unaweza iache ilivyo utafute kiwanja ujenge nyingine hata kama ndogo Heshima itarudi!
Mkuu soma maelezo yangu hapo juu ujifunze kitu maana tumekutana kwenye shida zinazofanana .Au nitafute in box .Mkuu MBUZI kinachoendelea kwenye familia yako na kwangu kuko hivyo hivyo hapa nakaa kwenye nyumba ambayo kiwanja mke alikopa hela akanunua then tukaanza ujenzi tukahamia ila sikai nae hapa anakuja mara moja moja likizo na watoto kuna kipindi kulitokea mgogoro kidogo akadai anatafuta watu apauze( hati ya manunuzi ya kiwanja anayo yeye tena aliichukua kwa kuiiba na kule kuna jina lake) na hadi leo sijui kaificha wapi.
Hapa nimekaa mguu nje mguu ndani na nimeacha rasmi kufanya maendeleo yoyote kwenye hii nyumba. Najichanga nitafute kiwanja changu kimya kimya nijenge kimya kimya. Hawa wenzetu wana ubinafsi sana na hawafai kumiliki mali maana wana madharau flani hivi.
Aking'ang'ania kutaka umiliki mwachie mali zinatafutwa hizi.
Huo ndio uamuzi wa busara Mimi mungu ameona kilio changu nilipanga matofali kwa hasira nikasepa bila kuchukua chochote ,furniture zangu niliona isiwe shida nimeanza upya.Umeme nilifungiwa mwezi wa name mwaka Jana.Unajua yatakayokukuta?Sakata lako linafanana na la kwangu. Hapa naanza kudunduliza nikatafute sehemu yangu nitoke hapa nimwachie nyumba yake. Maana nishadhalilishwa hapa ninapoishi sema navumilia kwa sababu nipo kwenye mchakato wa kutafuta hela niondoke.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Baada ya kumaliza kusoma bado naendelea kujiuliza wewe ni mwanaume au ni mtu mwenye maumbile ya kiume?Mkuu, pole. Hope mtapata ufumbuzi mujarabu wa hiyo kadhia. Mimi baada ya kuona jinsi wife anavyowapenda wanae (tuna watoto 2, mmoja miaka 5 mwingine miaka 2), nikaona sio kesi akiandika jina lake kwenye umiliki wa kiwanja.
Mungu jaalia, tunaweza anza ujenzi mwakani, lakini hata nyumba nataka iwe Kwa majina yake. Sababu ni zipi?
1. Najua hawezi watelekeza watoto (labda apigwe ndumba), so pale patakuwa pa watoto. Hata likitokea la kutokea, siombei, watoto watakuwa na kwao.
2. Nimeshuhudia issues za mirathi, ndugu wamechukua mirathi ya watoto,(ilikuwa 19M). Yaani baba na mama wamekufa, mjomba akapewa zoezi la kusimamia mirathi ya marehemu dada yake, ndo mirathi ya wadogo wawili waliokuwa chini ya 18 ikapigwa.
Nilijifunza kuwa mzazi, baba au mama atakuwa na uchungu zaidi na mali za watoto kuliko mtu wa nje. Labda nakosea, labda sijui, kikubwa fuata moyo wako
Haaa! Mungu anawaona!!!ushauri wa bure kwa wengine unapooa na kukuta mwenzio ana umiliki wa kiwanja ama nini kitu cha kwanza mkubaliane kubadili umiliki,ni juzi jamaa alipewa kiwanja kama zawadi siku ya ndoa kutoka kwa mama mkwe badae wakajenga kwenye kiwanja ambacho kina umiliki wa mama mkwe,juzi jamaa kaambiwa afungashe virago mama anataka nyumba yake
Hao watoto wako Leo ni watu wazima kesho.Kumbuka katika malezi mama Yuko karibu zaidi NA watoto kuliko wewe! Atawajengea taraaaatibu concept hao watoto kuwa baba hukushiriki kujenga chochote hapo then watoto watakudharau sana.Then hilo penzi litapungua kadiri age inavyopanda uzeeni hakuna mke NA mume kuna mwenza.!kwa sababu huwezi kumringia chochote.Huwezi mtuma apeleke maji bafuni kwa sababu wote magoti yanawauma n.k Utageuzwa mgeni kwenye hiyo NYUMBA believe or not....Talk through experience.Kuumizwa ktk mahusiano hakujaanza Leo fainali ni uzeeni.Udhaifu wowote utaulipia uzeeni! (Any way napita tu!!!)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado, Kwa asilimia 95 nadhani namfahamu mama watoto vyema kukuzidi. She isn't perfect ila la upendo kwa wanae silitilii shaka. Na mimi nafanya for the kids. Nitakuja na amani sana kokote nitakakokuwa nikijua my kids are in safe hands
Je huyo mtoto akiwa mkiritimba si atawadhulumu ndugu zake on the way?Ushauri wangu, andikeni majina ya watoto. Mkuu Kama ukiandika jina lako ikitokea Ndugu zako hasa dada zako na mama wakakosa utu kwa wanao ni rahisi wanao kudhulumiwa. Akiandika jina lake pia Kuna scanario mwanamke anapata mchepuko au mwenza baada ya wewe kutokuwepo huyo jamaa akapambana kumshawishi wapadilishe umiliki au hata jamaa achukulie mkopo. Ili mgogoro huu uishe na mkeo asione kuwa umemdhulumu kiwanja chake andikeni jina la mtoto mmojawapo ili ilionekane kwamba na wewe si mbinafsi bali unapambana kwa ajili ya future ya watoto wenu.
Jiandae kufukuzwa siku ukifulia 😀😀😀 najua una lengo zuri ila huwajui wanawake wewe. Ipo siku huna nguvu tena za kujenga wala kutmba atakutoa kama mbwa hapo kwako.Mkuu, pole. Hope mtapata ufumbuzi mujarabu wa hiyo kadhia. Mimi baada ya kuona jinsi wife anavyowapenda wanae (tuna watoto 2, mmoja miaka 5 mwingine miaka 2), nikaona sio kesi akiandika jina lake kwenye umiliki wa kiwanja.
Mungu jaalia, tunaweza anza ujenzi mwakani, lakini hata nyumba nataka iwe Kwa majina yake. Sababu ni zipi?
1. Najua hawezi watelekeza watoto (labda apigwe ndumba), so pale patakuwa pa watoto. Hata likitokea la kutokea, siombei, watoto watakuwa na kwao.
2. Nimeshuhudia issues za mirathi, ndugu wamechukua mirathi ya watoto,(ilikuwa 19M). Yaani baba na mama wamekufa, mjomba akapewa zoezi la kusimamia mirathi ya marehemu dada yake, ndo mirathi ya wadogo wawili waliokuwa chini ya 18 ikapigwa.
Nilijifunza kuwa mzazi, baba au mama atakuwa na uchungu zaidi na mali za watoto kuliko mtu wa nje. Labda nakosea, labda sijui, kikubwa fuata moyo wako
Akipata jamaa tu nje akakolezwa vizuri ndugu yetu atafurahia show🤣 katika kosa ambalo siwezi kuafiki ni nyumba iwe kwa jina la mke. Bora tumuandikie mtoto tu ili iwe yake kama atakuja kuiuza shauri yake.Unampa mamlaka mwanamke!?, Akikupiga tukio, baadae utaleta Uzi huku tukusaidie [emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani kumuandikisha mwanamke umiliki wa Nyumba, especially unayoishi wewe mwanaume na watoto wako, ni sawa na Kumsomesha mwanamke kwa kutegemea kumuoa, Lolote linaweza kutokea na ukabaki mdomo wazi.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamaa anataka kutesti sumu kwa kuilambaDuu u
Sifanye hivyo aisee hawa viumbe usile nao maagano. Andika jina lako tu kama ni mke wa ndoa hakuna wa kuwahangaisha. Wala usiandike jina la mtoto plz jitahdin kujifunza kutokana na historia.
Ukitaka kuwajua hawa viumbe kosa kaz mwaka ushindwe kuhudumia nyumba Ndio utajua hujui.
Wanawake ni vichwa maji sana. Yani kubadilika ni dakika 0 tu anaweza akachotwa akili na mpuuzi flani tu huko nje. Akavuruga na ndoa yenyewe ili abakie na nyumba na watoto wewe uondoke maana unambana bana kuspend na mshenzi mwenzie.Thubutuu
Kuna wanawake ukifariki anapata basha
Huyo basha anamdanganya danganya mwisho ana badili umiliki anakua anasomeka basha wake
Wanawake akili zao unazijua au unazisikia?
Au basha linamdanganya tuuze hapa tujenge pengne
Na huko wanakojenga basha anajiandika yeye