Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Amen Mkuu wangu, Mungu ni mwaminifu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daktari anatibu na Mungu ndiye anayeponyaPole sana.
Umepona si kwasababu ya Mungu, bali matibabu toka hospitalini.
Mungu asingekubali upate mateso yote afu ane akuponye.
AmenHabari ya jioni ndugu zangu wa Jf. Kwanza nimshukuru Mungu wetu Mwema katika jina la Yesu kwa kutulinda na kututunza hata Leo.
Takribani miaka 10 liyo pita, nilipata tatizo la akili yangu mnamo mwaka 2007 na kulazimika kuacha masomo niliyo kua naendelea nayo UDSM na kulazwa Psychiatric unit Muhimbili. Nilipewa madawa niliyo takiwa kuendelea kutumia maisha yote huku nikienselea kuhudhuria clinic zao. Hata hivyo, hali ilikua mbaya 2008 na 2010 nikachanganyikiwa mazima na kutoweka nyumbani kwenda kuokota makopo barabarani. Nilitafutwa na kupatikana na kurudishwa hospital niliko ruhusiwa 2011 March. Hali ilitulia kiasi, ila nikawa nasumbuliwa Sana na hali ya kutaka kujiua!!!
Mwaka 2013 May, nilileta Uzi juu hapa:
MSAADA, Nataka KUJIUA
Nashukuru sana kwa maoni na ushauri wa wadau hapa ambao ulinipa mwanga mwingine.
Kilicho tokea:
1: Nili engage kwenye kumtafuta Mungu katika maombi na kuombewa.
2: Hali ya kutaka kujiua na maumivu vilitoweka kabisa by July
3: August nilirudi hospital kupimwa na kukutwa nimepona kabisa tatizo lililo kua linanisumbua hali iliyo washamgaza hata madaktari!!!!
4: Mwezi October nilirudi Chuoni na kuhitimu 2015.
Kwa sasa ninafanya biashara na nimebariki wengine kwa kujiri jumla ya watu sita.
UTUKUFU WOTE KWA MUNGU.
USHAURI:
Ndugu wana Jf, mtu anapo leta issue yake tusiwe haraka kutukana na kukejeli. Kuna watu walinitukana kwenye Uzi ule ila Mungu awabariki wote mlio nishauri na sasa ni mzima wa afya.
Mbarikiwe wote.
Pole sana.
Umepona si kwasababu ya Mungu, bali matibabu toka hospitalini.
Mungu asingekubali upate mateso yote afu ane akuponye.
Hiyo avatar inaniambia kichwa chako bado kina shidaaah! [emoji83]Unadhan leo hii huyu angekuja vipi kumshukuru Mungu kama si kupitia magumu hayo? Si kila kitu kinaweza pingwa maana hoja pia huna. Ingawa we ulidhan una hoja ya kifalsafa but huna. Unafaham moto unaotumika kuyeyushia dhahab si sawa na unaotumika kuyeyushia plastic? Kwa akili fupi unaweza sema basi dhahab si kitu cha maana sana kwa nini kipitishwe kwenye moto mkali wakat plastic ni wa kawaida tu. The man huko amepitishwa ili awe dhahabu hayo yooote magumu aje atambue kuna uwezo wa Mungu.
Atheists waliomo humu bado wataendelea kukebehi uwepo wa Mungu na kumkebehi Mungu.Aise acheni Mungu aitwe Mungu, Ubarikiwe sana ndugu yangu.
Cc KirangaAtheists waliomo humu bado wataendelea kukebehi uwepo wa Mungu na kumkebehi Mungu.
Vv