Mrejesho: Msaada, nataka kujiua, shukrani wana JF kwa msaada wenu mkubwa

mhhh harufu ya utapeli, unatafuta wafuasi au?
 
Utapeli kwa lipi? Hii post inamtapelije mtu kwa mfano? Na wafuasi wapi hao?
Nimeandika hii post kuwatia moyo wana Jf kua kazi yao ni njema, umaweza kuona post ya 2013 kwenye hio link. Pia inawezekana wapo wanao pitia changamoto niliyo pitia hii itawapa nguvu ya kutokeza upande wa pili salama
 
Mkuu, nilikua nitumie dawa zile hadi naingia kaburini, ubongo ulikua na shida, baada ya maombi, nilipimwa na ubongo kukutwa sawa, kitu ambacho madaktar wenyewe walikiri hawaelewi imekuaje na sikuendelea na dawa tena huu ni mwaka wa NNE. Ni Mungu aliniponya, hii case ilishindikana kidaktari.
UTUKUFU WOTE KWA YESU KRISTO!!!

Sasa unamshukuru yesu au Mungu?
 
Amen
 
Pole. Tuvumiliane tu humu JF kuna mchanganyiko wa aina zote za wanaJF, wengine wanajibu uzi vile wajisikiavyo na si vile uzi utakavyo!
 
Back
Top Bottom