Mrejesho: Msaada, nataka kujiua, shukrani wana JF kwa msaada wenu mkubwa

Usijiue mrudishie Yesu fadhaha zako atakuponya
 
Mungu ni mwaminifu wakati wote. Moja ya mrejeshi mzuri jf.
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokupata na hongera kwa kurejea ktk afya yako, hakika Mungu ni mkubwa.
 
Amen
 
Unadhan leo hii huyu angekuja vipi kumshukuru Mungu kama si kupitia magumu hayo? Si kila kitu kinaweza pingwa maana hoja pia huna. Ingawa we ulidhan una hoja ya kifalsafa but huna. Unafaham moto unaotumika kuyeyushia dhahab si sawa na unaotumika kuyeyushia plastic? Kwa akili fupi unaweza sema basi dhahab si kitu cha maana sana kwa nini kipitishwe kwenye moto mkali wakat plastic ni wa kawaida tu. The man huko amepitishwa ili awe dhahabu hayo yooote magumu aje atambue kuna uwezo wa Mungu.

Pole sana.
Umepona si kwasababu ya Mungu, bali matibabu toka hospitalini.
Mungu asingekubali upate mateso yote afu ane akuponye.
 
Hiyo avatar inaniambia kichwa chako bado kina shidaaah! [emoji83]
 
Logout shukran kwa mrejesho na hongera sana kwa kufunguliwa na kuwa huru. Utukufu kwa Mungu.

Vv
 
Pole sana Mkuu kwa yote uliyoyapitia,pia shukrani za dhati apewe Mungu Muumba wa Mbingu na nchi
Nilichokigundua ni kwamba kuna watu wabaya walikupandkizia roho ya kuuawa kwa njia ya kuchanganyikiwa cuz walijua ukichanganyikiwa lazma utagongwa na vyombo vya moto kama vle magar na pkpk ili ionekane kuwa kifo chako kilitokana na ajali
Walipoona hilo limeshndkana wakaamua wakutupie roho ya kutaka kujiua.Hakika Mungu ni Mwema sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…