MREJESHO: Msukuma Msomi nimepata Mke JamiiForums

kanike ka ng'wana malinde nkoi
Yee, aleyooo babehi.

Nalehaya kwiza kwenuko tohoye nkoyi kongono noo onene nalehaya kotola kaanike.

Pye banamhala noo bakiikolo bahaya "tolagi, tolagi bayanda mwete kaya jing'we".
 
Kwa mnaotusema vibaya, kwamba haiwezekani kufall in love ndani ya wiki 2, endeleeni na imani zenu. Naomba msubiri picha na kadi za mialiko ya harusi. Pia nipo kwenye mawasiliano na uongozi wa JF kuhusu utaratibu uliopo wa kuconfirm couple wa JamiiForums. Mimi na mwenzangu tunaamini upendo ni upendo, hauna kipimo cha muda. Kama wewe unaamini ni lazima ukae miezi 2 au 6 ndio ujue kuwa flani ni mke/mme wako, Follow what you believe, don't judge others.
 
Na ujue kajoin2017 /katengeneza ID 2017 na keshampata mke mwema
PS: Kwa mnaotusema vibaya, kwamba haiwezekani kufall in love ndani ya wiki 2, endeleeni na imani zenu. Naomba msubiri picha na kadi za mialiko ya harusi. Pia nipo kwenye mawasiliano na uongozi wa JF kuhusu utaratibu uliopo wa kuconfirm couple wa JamiiForums. Mimi na mwenzangu tunaamini upendo ni upendo, hauna kipimo cha muda. Kama wewe unaamini ni lazima ukae miezi 2 au 6 ndio ujue kuwa flani ni mke/mme wako. Follow what you believe, don't judge others.
 
Du,mbona kama sijaelewa vile!!!Umetuaminisha kuwa umepata mke mwema ajabu ukasisitiza kuwa mnatarajia kwenda kwa wazazi kutambulishana mbona naona kama ni kile kipindi chetu pendwa cha lugha gongana!!!Maana nimesoma kwa makini andiko lako nikitegemea kujuwa ndoa imefungwa lini maana uchumba umesema ni mbele kwa mbele.Umri huna haja nao hata akilingana na mama yako twende tu,okay ni mawazo mazuri nakupongeza.
PS: Kwa mnaotusema vibaya, kwamba haiwezekani kufall in love ndani ya wiki 2, endeleeni na imani zenu. Naomba msubiri picha na kadi za mialiko ya harusi. Pia nipo kwenye mawasiliano na uongozi wa JF kuhusu utaratibu uliopo wa kuconfirm couple wa JamiiForums. Mimi na mwenzangu tunaamini upendo ni upendo, hauna kipimo cha muda. Kama wewe unaamini ni lazima ukae miezi 2 au 6 ndio ujue kuwa flani ni mke/mme wako. Follow what you believe, don't judge others.
 
Mke mwema?

Hongera ndani ya siku ishirini umeshapata wa kukidhi vigezo

Kama ni kweli una bahati aisee ila umakini unahitajika kuna wengine waigizaji balaa usije ukaja na thread ya malalamiko
PS: Kwa mnaotusema vibaya, kwamba haiwezekani kufall in love ndani ya wiki 2, endeleeni na imani zenu. Naomba msubiri picha na kadi za mialiko ya harusi. Pia nipo kwenye mawasiliano na uongozi wa JF kuhusu utaratibu uliopo wa kuconfirm couple wa JamiiForums. Mimi na mwenzangu tunaamini upendo ni upendo, hauna kipimo cha muda. Kama wewe unaamini ni lazima ukae miezi 2 au 6 ndio ujue kuwa flani ni mke/mme wako. Follow what you believe, don't judge others.
 
We acha tu... Nimecheka sana

Kamata fursa hiyo ya toto la kisukuma... wiki mbili tu unaweza kufanikiwa kama blaza ake alivyofanikiwa...

Back
Top Bottom