Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

Ni nmeamua sasa kuuza biashara ya Matunda Na genge mpaka sasa nmefatilia process ya kupata eneo nmepata sasa nafatilia utengenezaji wa Banda la kawaida Tu ambalo naomb Mungu lisimalize laki moja
Nlikushauri option tatu nashukuru mbili umezizingatia! Kuhusu meza sijajua location uliyopo ila kama ungekua dar πŸ€”πŸ€” kariakoo meza ni 60000 kwa mwezi
 
hongera..ungesema ni nani! ..pole sana
Lina uwizi wa kibouyah
πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee

Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
πŸ˜‚πŸ˜‚
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
🀣🀣 wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
 
Aisee!
Matapeli hayana huruma!

Yaani pamoja na ufinyu mtaji bado mtu anataka atapeli hapohapo!
Petro stations uniform huwa zinatolewa bure.

Hebu wataje hao matapeli.

All the best,
Ngoja na Mimi nipitie huo Uzi wako ambao wadau wametoa maoni ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…