Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti fanyeni kila kitu,mshahara wa kwanza mtachukua wote[emoji1787]
 
Nadhani atakua ni ambaye ninamfikiria na Mimi, maana hata nikimtag nowadays simuoni
mi simwonei aibu maana alikula hela yangu kwa kujifanya muhitaji, alikuwa anaitwa Daynamo na Id yake ikaja kuunganishwa na Mkogoti, huwa wanakuwa na Id nyingi anajifanya anakurefer kwa mtu mwingine kumbe ndiyo yeye huyohuyo.
 
Binaadamu tunaishi kwa kutegemeana, si kutegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…