Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Tatizo lenu nyie wanawake mnazingua sana na mara nyingi mnaweka haya matangazo kama utani tu na kuwachora watu, inshort shetani iwasamehe tu kwa hii michezo yenu.
 
Otherwise labda kama unadanganya but kwa elimu na kazi uliyo nayo na unasema unamtaka mtu samart na Intelligent ( kwa nilivo tafsiri baada ya kusoma andiko lako) najua kabisa lazma na wewe utakuwa hivo au Zaidi ya hapo.

haiwezekani hata siku moja ukaja kutafta humu mwanaume kwa sifa ulizoorodhesha, wenye sifa hizo washaolewa na ungechangamkiwa kama dhahabu huko mtaani,kanisani na kazini unakofanyia.

humu utapigwa miti, Unatumia ID feki unakutana na mtu ID feki unataka uingie nae kwenye mahusiano serious ya Maisha...
wewe utakuwa hauko serious na huo userious
 
Unasema PM ngingine umeshindwa kuzifungua , what if hizo ambazo hukufungua ndipo lilipo chaguo lako, usitupotezee muda! PERIOD
 
Hapana ,usihitimishe kwa kumuogopesha , hitimisha kwa kumpa Uangalifu ya kwamba anahitajika kua makini.

Hawa wanawake , niviumbe wenye upendo sana, na wanapoamua kufanya maamuzi huwa wameamua kweli kweli, huyu unayemuona, nikweli kabisa yuko katika hitaji LA Ndoa, na kwasababu imani yake nikumpata Mume ,na kwakuzingatia a nahisi mahali popote mume anapatikana ,ndomaana wanaamua kuja huku.


Kinachowaponza, nipale wanapokutana na wanaume wakwele, wanaume wasokua na nia ya kuoa, wanaamua kutumia Nafasi kama Fursa kwao..

Ingekua hawaangushwi na jamaa za humu basi JF km mitandao mingine ingehesabika km sehem nzuri ya watu kukutana na wenzi wao. Huyu mwanamke ni very smart, intelligent , na kaandika ktk mantiki ya u hitaji, hajaonyesha kujidai, wala maringo wala kutokua na masiala.

Na kwa kuzingatia Kanda alotokea , nachoweza kukuhakikishia huyu mwanamke Anajitambua na anajua MTU gan anayemfaa si kwa sababu ya kuchelewa Bali kwasababu anajua ni MTU wakushea naye maisha....na kwaivo suala la Uchaguzi ilikua ni lazima Alizingatie sana.




"What is yours will always be yours no matter what "
 
Mungu atakupa unachostahili, siyo unachoomba.

Usipoangukia kwa Baharia wa Kanda ya Ziwa; utaangukia kwa Baharia wa Dodoma a.k.a Zero IQ

Karibu Pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo pm
 
Daaah, ninemiss hii fursa kila la heri, acha nisubirie mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sina izo sifa zote apo juu kasoro moja tu ndo nnayo..sina mitazamo ya kiafrica..naeza nikakupa kampan kipindi iki upo unatafuta mwenza..nipm tupo mkoa mmoja


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…