Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

1. Non Drinker

2. Non Smoker

3. Si Mtokaji sana ( Ingawa I sometimes rarely do it when i'm stressed )

4. Siyo Shabiki saaana wa mpira.

5. Elimu | Diploma | Kazi Mlinzi | Makazi Dar | Asili Butiama, Mara | Kabila Zanaki

6. Umri 30.

7. Umbo | Mwembamba | Mrefu Mweusi Kiasi | Lafudhi ya Kizanaki

NiPM | If Serious.
 
Hizi interview zenu tumeshazichoka....ni PM.
 
Reactions: y-n
Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)
Hapa ndipo unapotaka kukwama mdogo wangu.
Narudia kukunukuu "only great thinker will understand", yaani wewe kama GT utanielewa hapo kwanini ukwame kwa kuhitaji mume mwafrika ambae hatakiwi kuwa na mtazamo wa kiafrika wakati amezaliwa na kulelewa na waafrika.

Zaidi ya 90% ya tabia na mitazamo yetu inakuwa ina shabihiana na malezi au mazingira tuliyokulia.
 
Kila la kheri mkuu, ikiwa itamoendeza Mungu akupe wepesi kwa hitaji la moyo wako.
Karibu sana Dodoma, kama haujapata nyumba usihofu kunisemesha.
Kuna nyumba inapangishwa, ipo umbali wa dakika 3 hadi kituo cha daladala, imezungushiwa ukuta na geti, ina mpangaji wa kushare nae (mtakuwa wapangaji wawili), nyumba ipo Nkuhungu karibu na St. Home school.
Karibu tena hapa Dom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mara paaaa nmeusoma Uzi !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…