SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,020
- 1,057
Habari ndugu...
Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka..
Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu...
Kiufupi nilikuwa nimemsamehe kwa yaliyotokea hapo Nyuma..
Ila shida ilikuwa kwangu..niliishi nae huku nikiwa Sina Imani nae tena najitahidi kuonyesha upendo kwake ila kila nikikumbuka aliyofanya huko Nyuma alipokuwa amepangishiwa na JAMAA Guest kipindi tumegombana nikawa makosa amani...ila nikawa najikaza...
Sasa kuna jambo lilikuwa linanipa mashaka JUU yake,,kila tukigombana anatishia tuachane,,,KISA eti tunapogombana anakosa amani...maana haamini kama nimemsamehe kwa usaliti aliyofanya...,,tuliendelea hivyo,,ikafika siku akawa ananiambia nikiendelea hivi nitakuta ameondoka maana anakosa amani,,,,
Kuna kitu kingine,,nilipokuwa NAFANYA nae Mapenzi alikuwa nafanya kila ninavyotaka alikuwa hanibanii ,,ila shida nilikuwa naona kama Hana hisia zozote nikama alikuwa ananipa mapenzi kama wajibu tu...sasa siku nilipomuuliza akaniambia ukweli kwamba Hana hisia yoyote maana kila nikifanya nae Mapenzi,,,anajisikia kujutia moyoni kwa usaliti aliyofanya.. kwahiyo anakosa amani kwa aliyofanya ndo maana anapoteza hisia,,,anajiona sio wa thamani tena.
Aliponiambia hivyo nikamuambia utafanyaje sasa ili uweze kutengamaa?,,akasema Bora tuachane kwasababu anakosa amani...
Aliposema hivyo,,hapo hapo,,niliamua nimsikilize na nguo zote nilizokuwa nimenunulia nikamnyanganya zote,,, aliondoka na nguo mbili tu...hata nauli sikumpa ,,, aliondoka jinsi alivyo ilikuwa jmamos jioni alipoondoka lakini kwa Mama ake alifika kesho yake jmapili asubuhi saa5,,,hata nauli sijui ya kufika Nyumbani kwao sijui alipata wapi....,,,,baada ya kufika kwa Mama yake,,,baada ya siku Moja kufika huko ilikuwa ni j.tatu nilipigiwa Simu na MKE wangu huyu kwenye namba ngeni alinambia kuwa ananijulia hali,,, nikamuuliza uko wapi,,,akasema Yuko kwa Nyumbani Mama ake,, nikasema sawa baadae akaniulizia mtoto anaendeleaje??nikamkatia Simu,,,baada ya kumkatia Atanitumia UJUMBE wa sms Mwaya sasa hivi nimerudi mjini Nipo kazini kwa Mama nimeshatoka
SIkumjibu chochote,.
Kesho yake Mama Mkwe akanipigia Simu alinambia kuwa Mwanae (MKE wangu) amemtoroka amerudi mjini anadai eti amepata kazi kwenye kiwanda Fulani...nilinjibu Mama Mkwe sawa...
Swali ninalojiuliza:Alipotoka kwangu ksa mara ya Mwisho Hakuondoka na Simu ,,,Wala MAWASILIANO yoyote,, Wala sikumpa Nauli,, Sasa alipofika kwa Mama ake ,,sasa hiyo kazi aliipataje fasta hivyo...????
Ila Nakumbuka Mama MKwe alinambia kuwa,,,Mwanae alimuambia,, Anataka kwanza atulie afanye mambo yake Maana nilimnyanganya na nguo kwahiyo anataka atulize akili,,,kama itatutokea tukarudiana itajulikana baadae..
Kwahiyo kwasasa ndugu ZANGU ni siku kama ya Tano...Tangu ameondoka kwa mara ya Mwisho,,ni hayo tu ndugu zangu