SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,020
- 1,057
- Thread starter
- #81
Sasa hivi...ananipigia Simu,,,na kunitumia vimeseji,,, akijifanya kuulizia mtoto,,,..Wewe ndugu, magomvi mengi huisha kwa kujitambua.
1.Hutaweza katika dunia hii kujaribu kutoa huzuni au mkanganyiko wa mawazo wa mtu yoyote
2.Huyu mkeo kuna kitu kinamsumbua,matarajio ambayo hayajafikiwa, maisha mnayopitia, kwa hiyo nafsi yake bado inahangaika kuukubali ukweli n.k
3.Unachopaswa kufanya ni wewe kuacha hizo hisia zako Akikupigia pokea, akiomba pesa kama unayo mtumie, hizo nguo ulipaswa kumpa, yaani ishi bila KUMLAUMU,kukasirika, kugombana naye etc.
Lazima uwe na uwezo wa kihisia mkubwa kuliko wewe.Utashangaa hata huko alikoenda sio hata kwa mwanaume.
4.Endelea na maisha bila kumlaumu, bila kumuongelea kwa watu.Jipende, jiamini, jitunze.UTAOKOA NDOA YAKO.
Wanawake wote hawapendi tabu.Ukipata mwenye roho nyepesi kama huyo wako inabidi uelewe uhalisia.
DONT ATTACK, DONT BLAME, DONT DO ANYTHING STUPID.
Kingine ndoa zote zinamapito, kuna wengine wake zao hawakimbii kama wako lkn ndani ni shida, au anachepuka pia, hata uvunguni hawaoni mwaka mzima.Thats life,
PAMBANA.
Mpe space mpaka pale yeye mwenyewe atakapopata uelewa, dont harrass her or force.
Ikipita kama siku mbili hivi ananipigia Simu,nisipopokea anatutuma meseji eii "Mbona hupokei Simu,kuna jambo nataka tuongee"". MImi Niko kimya sijibu chochote