Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

Wewe ndugu, magomvi mengi huisha kwa kujitambua.
1.Hutaweza katika dunia hii kujaribu kutoa huzuni au mkanganyiko wa mawazo wa mtu yoyote
2.Huyu mkeo kuna kitu kinamsumbua,matarajio ambayo hayajafikiwa, maisha mnayopitia, kwa hiyo nafsi yake bado inahangaika kuukubali ukweli n.k
3.Unachopaswa kufanya ni wewe kuacha hizo hisia zako Akikupigia pokea, akiomba pesa kama unayo mtumie, hizo nguo ulipaswa kumpa, yaani ishi bila KUMLAUMU,kukasirika, kugombana naye etc.
Lazima uwe na uwezo wa kihisia mkubwa kuliko wewe.Utashangaa hata huko alikoenda sio hata kwa mwanaume.
4.Endelea na maisha bila kumlaumu, bila kumuongelea kwa watu.Jipende, jiamini, jitunze.UTAOKOA NDOA YAKO.
Wanawake wote hawapendi tabu.Ukipata mwenye roho nyepesi kama huyo wako inabidi uelewe uhalisia.
DONT ATTACK, DONT BLAME, DONT DO ANYTHING STUPID.
Kingine ndoa zote zinamapito, kuna wengine wake zao hawakimbii kama wako lkn ndani ni shida, au anachepuka pia, hata uvunguni hawaoni mwaka mzima.Thats life,
PAMBANA.
Mpe space mpaka pale yeye mwenyewe atakapopata uelewa, dont harrass her or force.
 
Yaani hicho kitendo cha jamaa kumnyanganya nguo na kumnyima nauli, it speak alot about this guy.

Akae atulie afix mambo yake.
Alionisaliti nao...wamnunulia nguo...
Duh sikusoma mwanzo wa hii story ila aiseee
Jamaa anahitaji washauri na watu wazima wa kumtuliza
Hadi nguo????
Au ni mabrand kwamba hata second hand unauza
Ni nini hii
Nguo??
Duh
Ndugu yangu,,,huko Nyuma kipindi Niko nae alikuwa ananitambia kwamba wanaume wanamsifia anavyovaa nguo zinampendeza,,,,

Sasa ndo maana nimeamua,,,aende huko wanaomsifia WAMNUNULIA za kwao
 
Wewe ndugu, magomvi mengi huisha kwa kujitambua.
1.Hutaweza katika dunia hii kujaribu kutoa huzuni au mkanganyiko wa mawazo wa mtu yoyote
2.Huyu mkeo kuna kitu kinamsumbua,matarajio ambayo hayajafikiwa, maisha mnayopitia, kwa hiyo nafsi yake bado inahangaika kuukubali ukweli n.k
3.Unachopaswa kufanya ni wewe kuacha hizo hisia zako Akikupigia pokea, akiomba pesa kama unayo mtumie, hizo nguo ulipaswa kumpa, yaani ishi bila KUMLAUMU,kukasirika, kugombana naye etc.
Lazima uwe na uwezo wa kihisia mkubwa kuliko wewe.Utashangaa hata huko alikoenda sio hata kwa mwanaume.
4.Endelea na maisha bila kumlaumu, bila kumuongelea kwa watu.Jipende, jiamini, jitunze.UTAOKOA NDOA YAKO.
Wanawake wote hawapendi tabu.Ukipata mwenye roho nyepesi kama huyo wako inabidi uelewe uhalisia.
DONT ATTACK, DONT BLAME, DONT DO ANYTHING STUPID.
Kingine ndoa zote zinamapito, kuna wengine wake zao hawakimbii kama wako lkn ndani ni shida, au anachepuka pia, hata uvunguni hawaoni mwaka mzima.Thats life,
PAMBANA.
Mpe space mpaka pale yeye mwenyewe atakapopata uelewa, dont harrass her or force.
Namba yake Ninayo...ila siwezi kumpigia,,,,labda yeye atakapoamua kunipigia
 
Namshukuru kwa mawazo mazuri
 
Habari ndugu...
Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka..

Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu...

Kiufupi nilikuwa nimemsamehe kwa yaliyotokea hapo Nyuma..
Ila shida ilikuwa kwangu..niliishi nae huku nikiwa Sina Imani nae tena najitahidi kuonyesha upendo kwake ila kila nikikumbuka aliyofanya huko Nyuma alipokuwa amepangishiwa na JAMAA Guest kipindi tumegombana nikawa makosa amani...ila nikawa najikaza...

Sasa kuna jambo lilikuwa linanipa mashaka JUU yake,,kila tukigombana anatishia tuachane,,,KISA eti tunapogombana anakosa amani...maana haamini kama nimemsamehe kwa usaliti aliyofanya...,,tuliendelea hivyo,,ikafika siku akawa ananiambia nikiendelea hivi nitakuta ameondoka maana anakosa amani,,,,

Kuna kitu kingine,,nilipokuwa NAFANYA nae Mapenzi alikuwa nafanya kila ninavyotaka alikuwa hanibanii ,,ila shida nilikuwa naona kama Hana hisia zozote nikama alikuwa ananipa mapenzi kama wajibu tu...sasa siku nilipomuuliza akaniambia ukweli kwamba Hana hisia yoyote maana kila nikifanya nae Mapenzi,,,anajisikia kujutia moyoni kwa usaliti aliyofanya.. kwahiyo anakosa amani kwa aliyofanya ndo maana anapoteza hisia,,,anajiona sio wa thamani tena.

Aliponiambia hivyo nikamuambia utafanyaje sasa ili uweze kutengamaa?,,akasema Bora tuachane kwasababu anakosa amani...

Aliposema hivyo,,hapo hapo,,niliamua nimsikilize na nguo zote nilizokuwa nimenunulia nikamnyanganya zote,,, aliondoka na nguo mbili tu...hata nauli sikumpa ,,, aliondoka jinsi alivyo ilikuwa jmamos jioni alipoondoka lakini kwa Mama ake alifika kesho yake jmapili asubuhi saa5,,,hata nauli sijui ya kufika Nyumbani kwao sijui alipata wapi....,,,,baada ya kufika kwa Mama yake,,,baada ya siku Moja kufika huko ilikuwa ni j.tatu nilipigiwa Simu na MKE wangu huyu kwenye namba ngeni alinambia kuwa ananijulia hali,,, nikamuuliza uko wapi,,,akasema Yuko kwa Nyumbani Mama ake,, nikasema sawa baadae akaniulizia mtoto anaendeleaje??nikamkatia Simu,,,baada ya kumkatia Atanitumia UJUMBE wa sms Mwaya sasa hivi nimerudi mjini Nipo kazini kwa Mama nimeshatoka
SIkumjibu chochote,.
Kesho yake Mama Mkwe akanipigia Simu alinambia kuwa Mwanae (MKE wangu) amemtoroka amerudi mjini anadai eti amepata kazi kwenye kiwanda Fulani...nilinjibu Mama Mkwe sawa...

Swali ninalojiuliza:Alipotoka kwangu ksa mara ya Mwisho Hakuondoka na Simu ,,,Wala MAWASILIANO yoyote,, Wala sikumpa Nauli,, Sasa alipofika kwa Mama ake ,,sasa hiyo kazi aliipataje fasta hivyo...????

Ila Nakumbuka Mama MKwe alinambia kuwa,,,Mwanae alimuambia,, Anataka kwanza atulie afanye mambo yake Maana nilimnyanganya na nguo kwahiyo anataka atulize akili,,,kama itatutokea tukarudiana itajulikana baadae..

Kwahiyo kwasasa ndugu ZANGU ni siku kama ya Tano...Tangu ameondoka kwa mara ya Mwisho,,ni hayo tu ndugu zangu
unampenda halafu unamfanya akuone hujali maana unapopandisha uzi baada ya uzi sio tu unataka ushauri ni kwasababu unamuwaza sana na anakuumiza kumkosa yeye kuwa mbali, bado una nafasi hujachelewa mtafute muyajenge achana na hiyo ego
 
Yaani ungekuwa mdogo wangu ningekutia ngumi mpaka unichukie milele, unaaibisha wazazi wako, mbona unakuwa kilaza hvyo?

Yaani mke wako kila mwanaume anajiondolea nyege kwake mwishowe wewe unakula makombo ya wenzako. Shenzzy type
 
Ana haki tu kukusaliti.

Una mnyanganya mama watoto wako Nguo ulizo mnunulia? Utazivaa au?

Umeamua kumuacha baada ya kuona wote wawili mnakosa amani, ata nauli tu umeshindwa kumpa?

Kuna maisha baada ya kutengana mkuu, relax, Punguza hasira, Fanya mambo kama mwanaume.
Yaani ni kilaza flani na hata mwanamke amemgundua kuwa hamnazo ndio maana anafanya anavyotaka
 
Yaani hicho kitendo cha jamaa kumnyanganya nguo na kumnyima nauli, it speak alot about this guy.

Akae atulie afix mambo yake.
Jamaa bado yupo kwenye level zile za kimasai au wasukuma mtafundisha hadi mpasuke vichwa ila bado hatoelewa chochote ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Kusema kweli hua kila nikisoma kisa chako we na huyo mwanamke hua napata hasira ni namna gani ulivyo mpumbavu

Anyway maisha ni yako mwenyewe
 
Ety umemnyang'anya nguo ulizomnunulia 😂

Ww bado huna akili sawasawa
 
Mimi sikumfukuza,,Wala sikutaka aondoke,,,nampaje nauli?
Kwamba ulitaka kuendelea kuishi na msaliti, ww jamaa ni zaidi ya mpumbavu
Wanaofanya kazi ya kukushauri humu wanapoteza muda wao tuu
 
Pole kamanda,

Mwanaume kama kiongozi wa familia unatakiwa kua na mipaka, bila hivo familia itakusumbua sana, na familia ikianza kukusumbua hata kazini kwenye kutafuta kipato huwezi kufanikiwa, hapo ndo unajichimbia shimo kabisa, maana itafika muda pesa utashindwa kutafuta(utazikosa) na amani nyumbani hupati.... ni bila hizo pesa hio amani ndo usahau kabisa

Mimi wife anajua kabisa kwamba kufanya usaliti ni RED LINE ambayo haina muafaka wala sijui vikao wala njni, hili nilishamwambia na anajua fika kabisa, hata kama tutakua sijui na familia ya watoto wangapi haijalishi....akiamua kufanya ujinga afanye ila ajue kabisa nikijua hio haina comeback... hata alete ukoo mzima wafanye kikao hakuna kinachobadilika, mwanamke akishaanza kugawa huko nje ni hatari sana kwako we mwanaume, imagine vitu wanavyokujadili na huyo mtu wake wakiwa faragha, na mwanamke anaye cheat sijui kwanini hawezi kusema kitu positive cha mme wake, lazima atakusema mabaya tu sijui ni guilty consience hua inawapata au nini, yaani hataki kuonekana malaya kwa huyo mchepuko wake, so ataelezia mambo yako mabaya mengi ili jamaa amuone kua hakua na option zaidi ya kutoka nje ya ndoa.....

Kuna kisa kuna rafiki yangu alikua na mchumba wake ambae tayari walikuta na mtoto ana kama miezi 18, mwanamke anafanya biashara mkoa tofauti, jamaa akaamua amuoe kabisa mwanamke ahamie mwanza waanze maisha, vijana tukajitutumua mahari ikatolewa na tarehe za harusi zikapangwa, jamaa akakodi fremu huku inafanyiwa marekebisho mwanamke ahamishe biashara na mwanamke anajiandaa kuhamia huku, jamaa siku ndo anaenda sasa kuwachukua mwanamke na mtoto hio siku wamelala jamaa kashika simu ya mkewe kuna mambo akagundua....

MWanamke alikua anacheat na jamaa mmoja huko mkoani na inaonekana jamaa alikua anakuja kulala hapohapo kwa mwanamke, imagine mwanamke una mtoto mdogo na mfanyakazi ila unaleta wanaume ndani na ushatolewa posa, jamaa alikuta trail za sms nyingi ambazo haziacha shaka kabisa..... dah kuna muda tuache uzungu mara moja moja kagua simu ya mwenza wako, tahadhari muda mwingine ni ndo akili...

Jamaa kachanganyikiwa akascreenshot zile sms zote akajitumia, akajikausha tu akatafuta sababu akawaacha kwanza akarudi mwanza, kuja kutuomba sasa ushauri aisee zile sms ukizisoma inaumiza sana, baada ya kama siku 2 kamati ya roho mbaya ikamwambia hapa hakuna mke mzee huwezi kuanza ndoa yenye migogoro tayari

Jamaa nae akasema hawezi samehe usaliti hii kitu hata akioa hatasahau kabisa, kwa busara jamaa aliongea na huyo mchumba wake, wazee wa pande zote mbili akasema ni bora mahari asamehe walee mtoto tu, ilikua mzozo sana ila mwisho wa siku jamaa akawa na msimamo, ndoa ikafa na wadau tukarudishiwa michango watu wakanywe bia.....

mwanamke msaliti hasamehewi, mimi hilo swala hata tukikaa kikao watu bilioni 7 duniani kote sioni mtu wa kunibadilisha mawazo, mwanamke muache akitembeze nje ila akae anajua kabisa siku ukijua tu ndoa ndo inakua imeisha, talaka fasta tu kama ndugu za waislam, wakristo wanawapa kiburi hawa wanawake maana wanaweka sheria za kipumbavu sana kwenye swala la talaka, ndo maana wajanja tulishtuka mapema tukaamua ndo za serikali tu.....
Upo sahihi sana mkuu
 
Hii stori imenikumbusha mbali sana.
Ila dawa yake ni kuacha kabisa kabisa kabisa kuwasiliana nae.
Yani fanya kama amekufa na hayupo Tena duniani
Utakaa utazoea utakuja kunishukur
 
Back
Top Bottom