Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

Wewe ndugu, magomvi mengi huisha kwa kujitambua.
1.Hutaweza katika dunia hii kujaribu kutoa huzuni au mkanganyiko wa mawazo wa mtu yoyote
2.Huyu mkeo kuna kitu kinamsumbua,matarajio ambayo hayajafikiwa, maisha mnayopitia, kwa hiyo nafsi yake bado inahangaika kuukubali ukweli n.k
3.Unachopaswa kufanya ni wewe kuacha hizo hisia zako Akikupigia pokea, akiomba pesa kama unayo mtumie, hizo nguo ulipaswa kumpa, yaani ishi bila KUMLAUMU,kukasirika, kugombana naye etc.
Lazima uwe na uwezo wa kihisia mkubwa kuliko wewe.Utashangaa hata huko alikoenda sio hata kwa mwanaume.
4.Endelea na maisha bila kumlaumu, bila kumuongelea kwa watu.Jipende, jiamini, jitunze.UTAOKOA NDOA YAKO.
Wanawake wote hawapendi tabu.Ukipata mwenye roho nyepesi kama huyo wako inabidi uelewe uhalisia.
DONT ATTACK, DONT BLAME, DONT DO ANYTHING STUPID.
Kingine ndoa zote zinamapito, kuna wengine wake zao hawakimbii kama wako lkn ndani ni shida, au anachepuka pia, hata uvunguni hawaoni mwaka mzima.Thats life,
PAMBANA.
Mpe space mpaka pale yeye mwenyewe atakapopata uelewa, dont harrass her or force.
 
Yaani hicho kitendo cha jamaa kumnyanganya nguo na kumnyima nauli, it speak alot about this guy.

Akae atulie afix mambo yake.
Alionisaliti nao...wamnunulia nguo...
Duh sikusoma mwanzo wa hii story ila aiseee
Jamaa anahitaji washauri na watu wazima wa kumtuliza
Hadi nguo????
Au ni mabrand kwamba hata second hand unauza
Ni nini hii
Nguo??
Duh
Ndugu yangu,,,huko Nyuma kipindi Niko nae alikuwa ananitambia kwamba wanaume wanamsifia anavyovaa nguo zinampendeza,,,,

Sasa ndo maana nimeamua,,,aende huko wanaomsifia WAMNUNULIA za kwao
 
Namba yake Ninayo...ila siwezi kumpigia,,,,labda yeye atakapoamua kunipigia
 
Namshukuru kwa mawazo mazuri
 
unampenda halafu unamfanya akuone hujali maana unapopandisha uzi baada ya uzi sio tu unataka ushauri ni kwasababu unamuwaza sana na anakuumiza kumkosa yeye kuwa mbali, bado una nafasi hujachelewa mtafute muyajenge achana na hiyo ego
 
Yaani ungekuwa mdogo wangu ningekutia ngumi mpaka unichukie milele, unaaibisha wazazi wako, mbona unakuwa kilaza hvyo?

Yaani mke wako kila mwanaume anajiondolea nyege kwake mwishowe wewe unakula makombo ya wenzako. Shenzzy type
 
Yaani ni kilaza flani na hata mwanamke amemgundua kuwa hamnazo ndio maana anafanya anavyotaka
 
Yaani hicho kitendo cha jamaa kumnyanganya nguo na kumnyima nauli, it speak alot about this guy.

Akae atulie afix mambo yake.
Jamaa bado yupo kwenye level zile za kimasai au wasukuma mtafundisha hadi mpasuke vichwa ila bado hatoelewa chochote ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Kusema kweli hua kila nikisoma kisa chako we na huyo mwanamke hua napata hasira ni namna gani ulivyo mpumbavu

Anyway maisha ni yako mwenyewe
 
Ety umemnyang'anya nguo ulizomnunulia 😂

Ww bado huna akili sawasawa
 
Mimi sikumfukuza,,Wala sikutaka aondoke,,,nampaje nauli?
Kwamba ulitaka kuendelea kuishi na msaliti, ww jamaa ni zaidi ya mpumbavu
Wanaofanya kazi ya kukushauri humu wanapoteza muda wao tuu
 
Upo sahihi sana mkuu
 
Hii stori imenikumbusha mbali sana.
Ila dawa yake ni kuacha kabisa kabisa kabisa kuwasiliana nae.
Yani fanya kama amekufa na hayupo Tena duniani
Utakaa utazoea utakuja kunishukur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…