Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

Sasa hivi...ananipigia Simu,,,na kunitumia vimeseji,,, akijifanya kuulizia mtoto,,,..
Ikipita kama siku mbili hivi ananipigia Simu,nisipopokea anatutuma meseji eii "Mbona hupokei Simu,kuna jambo nataka tuongee"". MImi Niko kimya sijibu chochote
 
Katika vitu vya kijinga na ushamba mkubwa ulioufanya,kwanza kumnyaganya vitu ulivyo mnunulia kama nguo na simu, kwani huyo mkeo hajawahi Kuwa mwema Katika maisha yako hata kidogo?kuhusu mapenzi yenu na alicho kukosea uwamuzi wako pengine uko sahihi kabisa, pole sana Kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…