Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

 
Mathayo 5;12-13,Marko 9:49-50,Mambo ya walawi 2;13,Waamuzi 9:45,2Wafalme 2:20-21 na vngne vingi!!tusiambiwe ambiwe tu na hawa "mitume" na "manabii" wenye sauti nzito nzito,tusome biblia & Quran (waislam) majibu yote yamo humo
Ahsante sana
 

Kuna ndugu yangu ameumwa mda mlefu Sana ikafika kipindi ukizungumza nae hao gei kitu lakini baada ya kifuatilia huu Uzi nikashauri tumwogeshee chumvi tulochanganya na rimao baada ya ku mwogesha Cha ajabu akazungumza maneno haya HAPA SASA NIPELEKENI NDANI NIITIENI KAKA MKUBWA NIMECHOKA NATAKA KUPUMZIKA BAADA YAKUMWITA KAKA MKUBWA Akasema KAKA NIMECHOKA NATAKA KUPUMZIKA AKA KATA ROHO JE NINI KILOMFIKA MKUU NAOMBA UFAFA NUZI TAFADHALI
 
Hizi ndiyo mada pendwa sasa, hivi Rakims alipoteleaga wapi

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa anatafuta nguvu ya kuaga anashindwa kwakuwa kuna kitu kilikuwa kinamshikilia
 
Samahani kidogo MKUU unataka kuniambia chumvi ili msaidia kufanya hivyo?na JE kivipi ili msaidia?nisamehe kwa kuku sumbua
Hakuna shida.. Kuna nguvu hasi huwashikilia walioko tayari kuondoka ambao wako katika hali ya ugonjwa..nia kubwa ni kuwatesa, chumvi husaidia sana
 
Mkuu na je ukichanganya na Jivu la mkaa na hii formula ina pambana na nguvu hasi, maana inasemekani majivu nayo ni dawa na pia yananguvu km Chumvi
Hayo mengine sina hakika nayo kwakweli
 
YESU FIDIA YA WENGI

YESU NI ZAIDI YA CHUMVI NA MAFUTA YA UPAKO


JINA LA YESU NI DAWA TOSHA.
 
ASANTE SANA Kwa elimu. Unapofanya hii kazi unatakiwa kushiriki tendo la ndoa ama usishiriki mpaka iishe? Na vilevi je unaruhusiwa kutumia wakati wa dozi hii?
 
ASANTE SANA Kwa elimu. Unapofanya hii kazi unatakiwa kushiriki tendo la ndoa ama usishiriki mpaka iishe? Na vilevi je unaruhusiwa kutumia wakati wa dozi hii?
Haina shida kabisa ila usisahau kuoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…