mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Wakuu , nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kunishauri katika changamoto hii niliyopitia nawashukuru wale wote pia mlionipondea na kunilaumu.
Kwa kweli niseme hili suala lilikuwa limepangwa na mungu litokee maana limetumika kama turning point katika maisha yangu, nimebadilika sana yaani katika hili ndo nimepata kujua kwamba michepuko Haina shukrani na daima haina cha kupoteza, nimejifunza michepuko inapoteza sana muda na pesa waweza firisika kupitia kwayo, nimejifunza pia tamaa ya mwili hata ufanye vipi huwezi kuisatisfy maana wanawake ni wengi wenye sifa na vigezo tofauti.
Mimi na mke wangu kwa sasa tunapendana sana, nimejishusha na nimebadilika kwa Vitendo, nawahi sana Kurudi home, Napata muda wa kukaa Naye ananisimulia umbea wa kazini kwake,tunakunywa na kula wote.
Suala la kitandani kabadilika sana ananipa utamu wa kutosha sana, hana tena visingizio mara nimechoka mara nitakupa kesho mara ooh mbona humalizi hayo mambo hana tena.
Ikitokea nikachelewa kurudi usiku atahakikisha nakula na yeye akiwepo pembeni yangu hata uwe usiku vipi huku tukipiga stori.
Michepuko yote nimefuta automatically afu cha ajabu yule mchepuko aliyekuwa namba moja features zake zote nzuri zimebadilika akawa nazo mke wangu afu yeye namuona si Mtamu tena kama wife, yaani mchepuko namuona hamna kitu tenaaa hvo Naye nimembwaga kwa sasa nainjoi kwa wife.
Kiufupi hili suala limekuwa chachu ya mabadiliko chanya katika maisha yangu binafsi na kwa ndoa yangu kwa ujumla.