MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Mrejesho wa upande mmoja. Kwa kifupi umeamua kuwa boya ili ndoa idumu unafanya kila anachokitaka mkeo
 
Mrejesho wa upande mmoja. Kwa kifupi umeamua kuwa boya ili ndoa idumu unafanya kila anachokitaka mkeo
Kwa hiyo we huamini wapo wake za watu wanaojielewa na wasiobeba grudges kama wewe?
 
"...............Kama mke wetu ................"
 
Wanasema Ukianza kumwelewa mwanamke basi upo karibu na kifo kubwa makini
 
DeepPond yeye anasemaje au mama J ndiye muamzi?
 
Naam
 
Kuacha michepuko ni kama kuacha kuingia JF.
UTARUDI TU! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huu ujumbe uzingatiwe, sio na wewe mtoa mada bali na kila mtu asiye na masikio ya ndani kabisa.... Hata mimi nina uzoefu mkubwa na haya yaliyoandikwa hapa si kwa kusimuliwa bali kwa kuyaishi na kujionea live kwa watu wangu wa karibu
 
Yatapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…