MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Michepuko utawarudia tu.

Time will tell [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ikitokea nikachelewa kurudi usiku atahakikisha nakula na yeye akiwepo pembeni yangu hata uwe usiku vipi huku tukipiga stori.


Awali umetuambia unawahi sana kurudi na anakusimulia umbea wa kazini kwao.

Hii ikitokea umerudi usiku unatoka wapi Tena?

Mkuu baada ya miezi3 naomba ulete mrejesho mwingine Tena hapa hpahapa na uni quotes
 
Kwahyo unawashauri nini wazee wa KATAA NDOA?
 
"...............Kama mke wetu ................"
considering the guy as we are brothers. Na kwa mila zetu wanyakyusa, mke wa kaka yako au mdogo ako ni sawa na mkeo ty na unawajibika kwake na watoto wake(watoto wa kaka yako au mdogo ako ki kwetu ni wanao kabisaa) isipokua tendo la ndoa tu.

Sina maana nyinginr mkuu! πŸ˜‚
 
Kumbe naye mkeo amejirekebisha, haukusema kama alikuwa anakunyima, au kukuambia umalize haraka amechoka naye kwa upande wake ameshaelewa pengine hivyo vitendo vilipelekea ukatafuta plan B

Hongera sana, endeleeni mlipoishia, Yesu akamwambia yule mwanamke wala na mimi sikuhukumu enenda zako na usitende dhambi tena
 
Suala la muda tu..
 
Mkuu kuna nyakati nachelewa kurudi kutokana na nature ya kazi yangu au sometimes nikiamua kula zangu gambe
 
Aisee nikajua unapiga πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee wangu nakwambia utairudia hiyo michepuko Tu hakuna muda hapo.

Michepuko huleta hamsha hamsha ya ndoa...siku atakuzingua utaanza kutamani mademu wa nje na kuwaona ni wazuri zaidi ya shemeji yetu.

Kaa tayari kula tunda la mchepuko kaka..
 
Hakuna mwanamme mjinga ni yule anayeendeshwa na hisia na si akili
 
Subiri majibu ya mapigo
 
Alaa na yeye amejirekebisha. Ile nitakupa kesho, kichwa kinauma, tumbo linauma, siko kwenye mood, nomechoka amegundua ndio chanzo Cha kuchepuka.
Ma feminist na wanawake wasomi sijui kwanini hawajifunzi kwamba usipompa mumeo regularly Kuna sehemu atakwenda kuondoa hizi frustration. They think they know but leave these small small things to the small small women like house girls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…