MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Wazee wa kataa ndoa hawelewi unazungumza kitu gani
 
sasa shikilia hapo hapo
 
Wanaume wakishakamatwa wanasifia sana 😒 ila ngoja shetani akupitie tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaume wakishakamatwa wanasifia sana 😒 ila ngoja shetani akupitie tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣
 
Jambo nzuri mkuu
 
Hahaaaaaaa......umetisha mkuuu
 
Ujinga wa wanawake UKITULIA yeye anahisi zile dawa za mganga wake feki zimeanza kufanya kazi so ANALITIBUA YEYE ha ha ha ndoa ni ushetani siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…