Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Habari wakuu
Jana nilileta uzi wangu hapa ulikua unahusu hisia zangu kwa mpenzi wangu kuwa kanisaliti usiku wa kuamkia jana. Na zile dot nilizoleta (Screenshot) wote mliziunga mkono kwamba ni kweli kuna usaliti ndani yake.
Sasa jana kiukweli aliendelea kutuma SMS kadhaa za kunisalimia ila sikumjibu chochote hadi usiku sana wakati nataka kulala nikamjibu akauliza nilipokua siku nzima ila nadhan hazikuzidi SMS 3 tukaagana.
Hata asubuhi hii kanisalimia na sijamjibu chochote maana huwa sio kawaida yake kunitxt asubuhi sana hivi nadhan ni kama anajishtukia.
Sasa wakuu naombeni ushauri ni njia gani za kuachana na mtu kama huyu ambae hauna ushahidi kamili wa kumuonesha ila unajua wazi kakusaliti?