Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

Mimi ninayo?
Ndiyo, hii picha yako ilivuja hapa juzi
balozi_wa_insta_CBXAwTHFZEj.jpg
 
Fanya mambo yako punguza mawasiliano uku ukitafuta mwngne inaonesha bado ujaikubali hali unaumia kwa sababu unampenda
Shukran mkuu! imekua ghafla sana japo najua ana hulka hiyo ila alinisisitiza anataka kutulia namimi ila imekua tofaut
 
Kwanza kabisa, pole sana kwa hilo unalopitia.

Ingawa sikuliona hilo bandiko lako la awali ila nina maswali machache kwako;

Umejuaje 'wazi' kuwa mtu huyo anakusaliti wakati kulingana na maelezo yako hauna ushahidi kamili?

Je umehisi tu?

Unawezaje kuzihakikisha hisia zako za kuwa unasalitiwa ni za kweli?

Sina nia mbaya kukuuliza hivyo sababu kama ni kweli unasalitiwa basi ni wazi kuwa hustahili kuendelea kukaa katika mahusiano hayo na kwamba haikuwa sahihi kuwa na mahusiano hayo kuanzia mwanzo (in the first place).

Lakini kama ni hisia tu, si vyema kufanya maamuzi ambayo hukujiridhisha kabla ya kuyafanya. Ukivunja uhusiano na mtu kutokana na hisia tu kuwa anakusaliti kisha ukagundua baadaye kuwa alikuwa mwema utafanyaje?
 
Chamuimu bro sio kuachana nae ila kuzungumza nae vzur uwez achana na mtu pasipo ushaid jiulize utaachana na wangapi ndugu yangu amna kinachoshndkana kwenye mazngumzo na unaashiria kbsa bado unampenda
 
Chamuimu bro sio kuachana nae ila kuzungumza nae vzur uwez achana na mtu pasipo ushaid jiulize utaachana na wangapi ndugu yangu amna kinachoshndkana kwenye mazngumzo na unaashiria kbsa bado unampenda
Kweli nampenda ila hakuna kitu kinaniuma kama kusalitiwa yani najihisi mnyonge sana
 
Siwezi mtimizia kila kitu ila alionesha kuridhika na mimi
Mkuu amua kusamehe ikiwa nafsi yako inakuongoza kwenye msamaha,ila ikiwa inataka muachane basi usilazimishe ifuate....usipingane na nafsi yako
Sababu huyo ndio wewe halisi
 
Umemchoka mtoto wa watu,usilete visingizio. Hivi unataka kuoa malaika; ongeeni tofauti zenu,yataisha. Mwanaume unamnunia mwanamke?, nyie watoto wa kiume wa jikoni,mnapenda sana kukaa na mama zenu. Manzi akizingua,unavuta kona,konzi/unamfinya/kibao,huko anakuambia ahsante!!then unamwambia nisione machozi,lazima atabasamu. Wanaume wanaisha kwa spidi
 
Kwanza kabisa, pole sana kwa hilo unalopitia.

Ingawa sikuliona hilo bandiko lako la awali ila nina maswali machache kwako;

Umejuaje 'wazi' kuwa mtu huyo anakusaliti wakati kulingana na maelezo yako hauna ushahidi kamili?

Je umehisi tu?

Unawezaje kuzihakikisha hisia zako za kuwa unasalitiwa ni za kweli?

Sina nia mbaya kukuuliza hivyo sababu kama ni kweli unasalitiwa basi ni wazi kuwa hustahili kuendelea kukaa katika mahusiano hayo na kwamba haikuwa sahihi kuwa na mahusiano hayo kuanzia mwanzo (in the first place).

Lakini kama ni hisia tu, si vyema kufanya maamuzi ambayo hukujiridhisha kabla ya kuyafanya. Ukivunja uhusiano na mtu kutokana na hisia tu kuwa anakusaliti kisha ukagundua baadaye kuwa alikuwa mwema utafanyaje?
Yani sina jinsi ya kuelezea yote ila mimi sina wivu wa kishamba na huwa nnaamini sana hisia zangu pia kwa kuunganisha na mazingira ya huyu mpenz wangu tangu nimemfahamu nimejiridhisha bado hajaacha hulka yake japo wakati tunaanza alinisimulia wazi maisha yake ya nyuma na akadai hataki kuishi vile tena ila naona bado ile kitu anaipenda
 
ukitaka maisha yaendelee we kikubwa angalia tuu mwanamke km anakupenda.kama anakupenda haijifichi wala hawez kugeresha anakupenda usijue.wanawake hawa wanatongozwa wanachat na wanaume kila aina!kwa hiyo isikupe presha hiyo wala usionyeshe unamfatilia we kuwa simpo tuu maisha yaendelee.ila kikubwa nakushauri usiwe na mwanamke 1 kuwa na angalau 3 hii itakupa tulizo la moyo
 
Ww mdhaifu mno kuwa usimuamini mwanamke...
Ni kweli mkuu maana nilikua namatarajio makubwa kwake ila imekua tofaut sana na imenihuzunisha japo alinihaidi kwamba anataka kutulia namimi lakini imekua tofaut

Sasa kwa kuwa sina ushahidi wa kumuonesha ndio maana naomba ushauri njia gani bora za kuachana na mtu kama huyu
 
Tatizo Umewekeza Kwake Huyo Mwanamke
Lazima Uumie Unamtunza Halafu Unagundua Anafanya Hovyo. Umesema Alikwambia Atatulia Na Umehisi Kashindwa Kutulia

Huyo Amekufanyia Hivyo Sababu Anajua Unampenda Sana Huwezi Kumwacha
Simama Eneo Lako, Mwache Aende Zake
Salaam Mpaka Lini
 
ukitaka maisha yaendelee we kikubwa angalia tuu mwanamke km anakupenda.kama anakupenda haijifichi wala hawez kugeresha anakupenda usijue.wanawake hawa wanatongozwa wanachat na wanaume kila aina!kwa hiyo isikupe presha hiyo wala usionyeshe unamfatilia we kuwa simpo tuu maisha yaendelee.ila kikubwa nakushauri usiwe na mwanamke 1 kuwa na angalau 3 hii itakupa tulizo la moyo
Huyu ni kweli ananipenda ila kuna maisha flan ya kuliwa liwa kimasihara yameshaingia kwenye damu asa kuyaacha kbsa inakua shida
 
Tatizo Umewekeza Kwake Huyo Mwanamke
Lazima Uumie Unamtunza Halafu Unagundua Anafanya Hovyo. Umesema Alikwambia Atatulia Na Umehisi Kashindwa Kutulia

Huyo Amekufanyia Hivyo Sababu Anajua Unampenda Sana Huwezi Kumwacha
Simama Eneo Lako, Mwache Aende Zake
Salaam Mpaka Lini
Asante mkuu ngoja niishi kivingine sai,kuanzia sasa nimemuua moyoni na hta akilazimisha kuendelea nitamtumia kama anavotumiwa na hawa wanaomla ila care zote zmeisha
Nakuhaidi
 
Ungeandika story kidogo ya usalitii ilivyo tokea kwenye comment tujuee maana sio kila mtu ali soma
 
Back
Top Bottom