Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

Haahaah! Haya mambo ya wazungu bhn, huku bongo ukizingua ndio imeisha hiyo.
 
Achana nae huyo,tafuta mwingine.
 
Asante mkuu ila kamwe nisiwahi kuwa wakwanza kumcontact sindio?
 
Unashindwa kumuacha mpz? We jamaa simama kama mwanaume piga chini huyo
 
Kila mtu ashike 50 zake, kwan tatizo nn khaaaaaah
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…