J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,206
Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,
Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu,
Alinishukuru sana kwa upendo niliyoonyesha kwake kama ndugu.
Mpaka naandika uzi huu,kakangu jana alikuja bila taarifa yoyote,na alifanya tukio moja hatari sana,(commandor siyo mtu mzuri)
Leo nipo kazini napigiwa simu njoo nyumbani kwa kakako,nikasema kuna nini,kwa brother,kwenda kushudia ........ni aibu kusema...
Niwaambia tu nyie mnaocheza na wake za watu acheni hiyo tabia ,nawaambieni acheni jamani
Ni hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app