Mrejesho: Nilisema nitamwambia brother kuhusu mke kumsaliti

Mrejesho: Nilisema nitamwambia brother kuhusu mke kumsaliti

bro wake angeweza kupata magonjwa ya zinaa kuputia kwa mke so bado ni jambo jema alilofanya. kamuepusha na vitu vingi.
Umbea utakuuua,,, unaonekana una mdomo mrefu, unasherekea kuvunjika kwa ndoa za watu ? Amna asiechepuka kwenye dunia hii !

Jitu zima Bado unakaa kwa kaka ? Lini utakuwa mwanaume ? Ondoka hapo kapambane kivyako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wasipoachana jiangalie sana shemeji yako atakuchukia na mtakuwa maadui wa kudumu
Yeye ata akinichukia ila tayari nilishamwambia ukweli na ametenda kwa vitendo ,mi kwa sasa hakuna anachonisaidia nacho brother,labda ushauri tu wa mawazo maana hata huo ushauri naweza kupata kwa marafiki zangu pia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua watu hawajui tu mkuu,na namjua brother vzr amemwambia mke wake arudi home haraka sana, atakaporudi kumcheki afya hiyo ni namba moja au akarudi na kumpa talaka moja kwa moja,uzuri watoto hawakwepo wapo boarding school
bro wake angeweza kupata magonjwa ya zinaa kuputia kwa mke so bado ni jambo jema alilofanya. kamuepusha na vitu vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,

Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu,

Alinishukuru sana kwa upendo niliyoonyesha kwake kama ndugu.

Mpaka naandika uzi huu,kakangu jana alikuja bila taarifa yoyote,na alifanya tukio moja hatari sana,(commandor siyo mtu mzuri)

Leo nipo kazini napigiwa simu njoo nyumbani kwa kakako,nikasema kuna nini,kwa brother,kwenda kushudia ........ni aibu kusema...

Niwaambia tu nyie mnaocheza na wake za watu acheni hiyo tabia ,nawaambieni acheni jamani

Ni hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tupe kionjo basi unaelezea juu juu hata hueleweki.
 
Kama unaweka habari weka habari iliyokamilika badala ya kuandika kwamba ulichoshuhudia ni aibu. 😳

Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,

Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu,

Alinishukuru sana kwa upendo niliyoonyesha kwake kama ndugu.

Mpaka naandika uzi huu,kakangu jana alikuja bila taarifa yoyote,na alifanya tukio moja hatari sana,(commandor siyo mtu mzuri)

Leo nipo kazini napigiwa simu njoo nyumbani kwa kakako,nikasema kuna nini,kwa brother,kwenda kushudia ........ni aibu kusema...

Niwaambia tu nyie mnaocheza na wake za watu acheni hiyo tabia ,nawaambieni acheni jamani

Ni hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naelewa. Ila ungemuonya kwanzs shem kwamba unajua madudu yake. Kama asingejirekebisha ndio unachoma utambi
Kugongewa ni inauma mkuu,tena usiongee hivyo,brother ni mtu wa amani sana na siku zote anatuambia mdogo wangu fanya raha zote hapa duniani ila isithubutu kutembea na mke wa mtu,nadhani majibu yake nimeona leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom