Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kama hukuwa na nia ya kutusimulia si ungeacha tu, maana sijaona ulichotuambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Shem anaachwa uwe tiyari kumbinulia kakaako , hopeless!!
Hii story ni ya uongo bila kapichaKwani kakangu unamfahamu mkuu,picha siwezi kuweka humu,unataka nifungwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Kama ni mjeda ameenda kikazi aondoke huko kurudi bongo kirahisi hivyo?Hii story ni ya uongo bila kapicha
kwanza taarifa hii ya kufumaniwa ni SIRI yenu lakin kuvunjwa mikono na miguu ni uzushi kwani tuneikuta mitandaoni, Hospital au Kituo cha POLISI
pili huyo Mke wa kaka yako hawezi muacha huyo jamaa
mojawapo ni vibamia, mwanamke huwezi mchezea juuu juu au umwache miezi 6 eti upo Congo
Nikweli hajafanya jambo jema. Ila wapo watu ambaokuchepuka kwao ni mwiko. Ww tu hujapata kuwaona ila wapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu niache nipunzike,ina maana rafiki yako wa karibu hawezi kujua mke wako,maswali gani hayo,na hata kama alimtongoza anajua huyu ni mke wa rafiki yangu,Jamaa anahoji kwamba ni vipi kama jamaa hakujua kama mwanamke ameolewa na ni vipi kama mwanamke ndiye aliemtongoza jamaa?
haka kajamaa kana wivu na shemeji yakeNa Kama ni mjeda ameenda kikazi aondoke huko kurudi bongo kirahisi hivyo?
Wewe na braza wote bogus
Ebu niache nipunzike,ina maana rafiki yako wa karibu hawezi kujua mke wako,maswali gani hayo,na hata kama alimtongoza anajua huyu ni mke wa rafiki yangu,
Mda wa kupunzika huu uliza maswali yeye kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakomesha wangapi kwa umbea wako katika dunia hii? Hivi tu unaongea hayo kuna wake za watu au shemeji yako mwingine,au demu wako,au mke wako kama mia hivi wanagegedwa muda huu, aither na bodaboda au Hb
Kakaako mwenyewe yuko congo vitani,halafu binti wa watu mmemuoa mbichi tu,anaachiwa ugwadu bila kugegedwa eti asubiri tu mpaka kakaako arudi mpaka miaka mi3,wapi wapi hiyo? Hata mnyama tu hawezi kuvumilia,iwe ndio mwanamke anaetongozwa kila siku? Hapo ilitakiwa tu utumie busara nyingine. Vinginevyo kumsaidia ungekuwa unamgegeda mwenyewe. Wivu tu umekujaaHayo ni mawazo yako mkuu,uwezi kuleta ujinga ndani ya familia yetu tukaaa kimya hiyo haiwezekani hata kwa mlio wa bunduki
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yangu,katika yoooote ,hapa ndipo unaharibu,kuamini kuwa shemejiyo ameshawishiwa tu na mwanaume.Kati ya binadamu usiopaswa kuwaamini ni jinsia ke.Naamini,shemejio ameliwa kwakuwa aliwashwa tuu na kuutafuta mkuyenge yeye mwenyewe au alitongozwa na akaridhia.Haya sasa mmemfanya vibaya huyo mgoni wenu na kumwacha Shem.Yuyo kakaako ataondoka nashemejio atawashwa tena na wanaume wengine watamtia waziwazi au kwa siri.Hovyo.Mkuu mimi sikai kwa kakangu,najitengemea mwenyewe,nilianza kujitegemea baada tu kumaliza chuo,na wala hakuna anayejua kama mi ndo nilimtonya brother,na mpaka sasa hivi shemeji amenipigia simu yupo hotel fulani na kaka ameniambia nimwambie arudi nyumbani na tayari nimeshazungumza na brother,na hawezi kumpiga mke wake,maana mwanaume ndo alimshawishi shemeji na brother yuko njiani kuelekea kwenye majukumu yake,nimemwambia shem nitakupitia hapo jioni nikupeleke home.tunafanya mambo kwa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Furaha yako ni nini hapo? Kuumizwa mtu ksbb ya kumsaidia kumuondolea ugwadu shemeji yako? Wivu tuJamaa amevunjwa mikono yote miwili na miguu yake ila jamaa amekutwa hana penis,na cha ajabu alivyovunjwa ndo imewaacha watu hoi yaani hatujui ametumia nini kumvunja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi duniani wanatenda dhambi pengine bila kujua. Umefanya dhambi kubwa na wewe pia. Malipo yako ni hapa hapa duniani. Subiri uoe,lazima ugegedewe mke. Tena wewe hatagegeda kwa kujificha. Watakufunga hapo pembeni uone ya mke wako inavyogegedwa. Utatoa macho tu mke wako anatoa ushirikiano kwa wagegedajiMkuu mi naishi kwangu,najipikia mwenyewe na sitaki kuoa kwa sasa,wala sina mpango
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa umenena vyema huwezi kufurahia kuvunja nyumba ya mtu, hangetafuta namna bora ya ku solve huo msala kwa amani na nyumba ikaendelea kuwepo.Ulichokifanya ni wambea pekee watakifurahia.
Grow up, learn and observe the way unaweza solve matatizo bila kusababisha matatizo zaidi huo ndio utu wa mtu.
Unaweza furahia shemeji yako kuachwa lkn ukasahau kuwa kaka ako kwa tukio hilo anaweza okota changudoa mwenye wire!!
Sent using Jamii Forums mobile app