Mrejesho: Nilisema nitamwambia brother kuhusu mke kumsaliti

Mrejesho: Nilisema nitamwambia brother kuhusu mke kumsaliti

Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,

Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu,

Alinishukuru sana kwa upendo niliyoonyesha kwake kama ndugu.

Mpaka naandika uzi huu,kakangu jana alikuja bila taarifa yoyote,na alifanya tukio moja hatari sana,(commandor siyo mtu mzuri)

Leo nipo kazini napigiwa simu njoo nyumbani kwa kakako,nikasema kuna nini,kwa brother,kwenda kushudia ........ni aibu kusema...

Niwaambia tu nyie mnaocheza na wake za watu acheni hiyo tabia ,nawaambieni acheni jamani

Ni hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ujamalizia mkuu vp yule bodaboda aliyekuwa anamla mke wa kaka yako kafumuliwa malinda au imekuwaje embu tuambie kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,

Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu,

Alinishukuru sana kwa upendo niliyoonyesha kwake kama ndugu.

Mpaka naandika uzi huu,kakangu jana alikuja bila taarifa yoyote,na alifanya tukio moja hatari sana,(commandor siyo mtu mzuri)

Leo nipo kazini napigiwa simu njoo nyumbani kwa kakako,nikasema kuna nini,kwa brother,kwenda kushudia ........ni aibu kusema...

Niwaambia tu nyie mnaocheza na wake za watu acheni hiyo tabia ,nawaambieni acheni jamani

Ni hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni ujinga basi mmojawapo ni huu... KWANGU MIMI KAMA UNGEKUWA KWELI UNAPENDA AMANI, UNGEMWENDEA SHEMEJI KUMWELEZA, HAYO ULIYOYAFANYA UNGEFANYA KAMA SHEMEJI ANGEENDELEZA UCHAFU WAKE
 
Ulichokifanya ni wambea pekee watakifurahia.

Grow up, learn and observe the way unaweza solve matatizo bila kusababisha matatizo zaidi huo ndio utu wa mtu.

Unaweza furahia shemeji yako kuachwa lkn ukasahau kuwa kaka ako kwa tukio hilo anaweza okota changudoa mwenye wire!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi wa wake za watu huwa mnajulikana upesi
 
Back
Top Bottom