Hahaha,utajua mwenyewe,usilolijua ni kama usiku wa giza.Umbea utakuuua,,, unaonekana una mdomo mrefu, unasherekea kuvunjika kwa ndoa za watu ? Amna asiechepuka kwenye dunia hii !
Jitu zima Bado unakaa kwa kaka ? Lini utakuwa mwanaume ? Ondoka hapo kapambane kivyako
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora harufu mkuu ile ni komesha kwa watu wenye tabia kama kileUlikuta harufu mbaya
Ulichokifanya ni wambea pekee watakifurahia.Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,
Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu,
Alinishukuru sana kwa upendo niliyoonyesha kwake kama ndugu.
Mpaka naandika uzi huu,kakangu jana alikuja bila taarifa yoyote,na alifanya tukio moja hatari sana,(commandor siyo mtu mzuri)
Leo nipo kazini napigiwa simu njoo nyumbani kwa kakako,nikasema kuna nini,kwa brother,kwenda kushudia ........ni aibu kusema...
Niwaambia tu nyie mnaocheza na wake za watu acheni hiyo tabia ,nawaambieni acheni jamani
Ni hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbea utakuuua,,, unaonekana una mdomo mrefu, unasherekea kuvunjika kwa ndoa za watu ? Amna asiechepuka kwenye dunia hii !
Jitu zima Bado unakaa kwa kaka ? Lini utakuwa mwanaume ? Ondoka hapo kapambane kivyako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yako mkuu,uwezi kuleta ujinga ndani ya familia yetu tukaaa kimya hiyo haiwezekani hata kwa mlio wa bundukiUlichokifanya ni wambea pekee watakifurahia.
Grow up, learn and observe the way unaweza solve matatizo bila kusababisha matatizo zaidi huo ndio utu wa mtu.
Unaweza furahia shemeji yako kuachwa lkn ukasahau kuwa kaka ako kwa tukio hilo anaweza okota changudoa mwenye wire!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli hajafanya jambo jema. Ila wapo watu ambaokuchepuka kwao ni mwiko. Ww tu hujapata kuwaona ila wapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mzee baba alichukua na wazee wenzie wa kazi au alone ??Jamaa amevunjwa mikono yote miwili na miguu yake ila jamaa amekutwa hana penis,na cha ajabu alivyovunjwa ndo imewaacha watu hoi yaani hatujui ametumia nini kumvunja
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee naona umefurai mgeda kumnyoosha shemejio..sio mbaya ila Sasa sijui utapikiwa na nani..
Kuna jamaa yangu alikutana na demu matata kagongea mzigo kapewa demu akashika mimba ya jamaa badae ndio anamwambia yy n mke wa mtu..mbaya zaidi demu kamwambia asiwe na Shaka Tena akamuita mahali waongee kumbe alimuita kumtunu Kwa kumpa mimba....huku akimponda mmewe kwa kushindwa kumjaza kwa kipindi walichokaa
Wanawake ni tatizo,,wao ndio mwanzo wa kuruhuSU kugongwa.
Ushauri wangu kwa wanaume tuliooa..TUWAKAZE WAKE ZETU MPAKA KIZAZI KIWAKE MOTO..
Sent using Jamii Forums mobile app
ENDELEA KILISHWA NA KAKA!Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu,